Ifahamu Ndege ya Pan american iliyopotea na kuonekana baada ya miaka 37 Abiria wake wakiwa hai

Nimesikia watu wa pangoni lakini hii sijawahi hata kuhadithiwa achilia mbali kuisoma au kusikia kwenye radio
Ngoja na mimi nijipoteze tu sasa labda ntarudi na kukuta mnauza mitumba New York

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nimetamani kuishi kwenye huo mkondo wa 'time elapse', najua nitabaki nilivyo.
 
Back
Top Bottom