Mcmillan de Maghayo
Senior Member
- Dec 6, 2025
- 186
- 393
Mzuka Wana Jamvi!
Naam siyo nyingine bali Sweden. The land of the Abba, the land of Volvo and the land of Scania ( King of the road).
Sweden ni taifa linaloongoza duniani kuwa na visiwa vingi.
Idadi ya visiwa Sweden ni 221,800. Hii idadi ni nyingi.
Visiwa vyake vingi havijawahi kukaliwa ama uninhabited.
Gotland ndio kisiwa kikubwa cha Sweden.
Nchi ya pili inayofuatia kuwa na visiwa vingi duniani ni Finland 188,000.
Norway ni ya tatu kwa idadi ya visiwa.
Ya nne ni Canada.
Green land ndio kisiwa kikubwa kuliko yote duniani, ikifuatiwa na Papua New guinea, Borneo (Indonesia) na Madagascar.
Zanzibar yetu pamoja na Commoro na cape Verde hazipo kwenye orodha.
Senior JF local and international archaeologist.
Masters