Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

Miaka ya nyuma usafiri ulikuwa changamoto sana huko. Gari nyingi zilikuwa ni lori aina ya fuso, canter, landrover 109, na pickups.

Hivyo ili mpandishe huko, hizo gari lazima zijaze mzigo wa kutosha! Halafu abiria ndiyo mnakaa juu ya mabomba.

Na usafiri huo huo wa malori, ulikuwa pia ni common kwa safari za Ifakara - Mbingu - Mngeta - Chita mpaka Mlimba. Sijui kwa miaka ya sasa. Huenda basi aina ya Tata zikawa nyingi zaidi.
Kwa sasa Kuna Noah kutoka ifakara adi mlimba pia hiace ndogo na basi moja linatoboa adi mafinga ile njia ya kihansi.
Ifakara mahenge Kuna basi mbili erfra na kidinilo pia Kuna hiace baadhi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mlima ndororo ni mkali ulee, sema uliwekewa kipande cha lami tyuuh, huwa nawaza kabla ya kuwekwa lami ilikuaje??
1744608147122.jpeg

Nyakati za tope kuna mchepuko mmoja matata sana katika hilo pori.

Tuliwahi toka Kwiro tukakutana na Mzee mmoja akatupisha chocho hilo mpaka hapa kijiji cha chini ya mlima(Nimesahau jina lake)
Ila pia mwisho wa kazi kuna chuma cha Mlima Nyani kabla ya Ndororo huu uliwekwa lami..pale tumelala sana.
 
Sijui kwa siku hizi, kipindi hicho simu zilikuwa zinaruhusiwa tena tukifika darasani mwalimu anasema zimeni simu au weka silent la sivyo nitakutoa darasani, ila o level walikuwa hawaruhusiwi kuingia na simu darasani
Yes 100% tokana na mazingira.😀😀😀😀The University of Kwiro😀😀
 
Kwiro ilikua ya Kibabe sana enzi hizo kila term Kuna migomo sio chini ya miwili ukiingia class Kuna viti na meza vya watu wa 5 hivi vingine porini na Ile chemba kule juu inaitwa chemba mavi..... Kuna choo kule juu kulikua kinaitwa Serbia [emoji23][emoji23][emoji23]wadau walikua wanazama serbia na kikopo na boxa au bukta.

Kazi za kupasua kuni duuh. Mimama ya mahenge inagawa burebure tena akijua wewe ni advance level (wanaita secondary sana) unapewa mbususu tuuu. Nilikua naponea kwa nesi mmoja kule hospital no zake nilipoteza sijui hata yupo wapi.

Baridi +Radi mvua zikinyesha ni balaa mvua inanyesha kweli kweli nilikwenda mwaka juzi kama kutalii hakuna tena zile fun moments kama kuvuka kilombero na Pantoni.... Enzi hizo basi mbili tuu Alisaed na Morobest.
Moro Best ilikuwa inaunguruma sana Babu na pipe ile...
Serbia a.k.a choo cha luxury no water mengi.
Mvuaa kule inanyesha si kitoto...niliteseka sana aisee...unaenda class na shuka😀😀😀
 
Mwambie tuliwekewa kabisa na sehemu za kuchaji Kule Dining Hall. Yaani Head master anauliza wanafunzi kama Kuna mtu anauza vocha za Tigo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeuza sana Vocha watu wapate ada😀😀😀
 
Kitonga hamna mlima pale ule ni muinuko tu mlima gani unapanda umenyooka,hio ndororo unacheza na kona 24 na zote ni fupi fupi kupanda na kushuka,ila waliozoea kina kidinilo wanapanda na kushuka kwa 60 wanacheza na stopper sana.
Usie mzoefu lazima wakakuokote chini mita elf 3 Kama Sio 6 bondeni huko
Mkuu upo sahihi kabisa Ndororo hapana aisee..nilienda huko August 2024..abiria wangu walifumba macho.
Nikashuka na kule Mbangayao kona 21 the ni za hapa uso kwa uso..
 
D
View attachment 3303504
Nyakati za tope kuna mchepuko mmoja matata sana katika hilo pori.

Tuliwahi toka Kwiro tukakutana na Mzee mmoja akatupisha chocho hilo mpaka hapa kijiji cha chini ya mlima(Nimesahau jina lake)
Ila pia mwisho wa kazi kuna chuma cha Mlima Nyani kabla ya Ndororo huu uliwekwa lami..pale tumelala sana.
Duuuh hatariii sanaa. Lol
 
Ongeleeni kuhusu mto wa dhahabu kwamba ukichimba Tani 10 za mchanga wake hukosi gram 20 za dhahabu hii ni kweli?
 
Back
Top Bottom