Ifahamu Dodoma

Kuomba ni kero kubwa, yani hata ukikaa zako mahali ujiagizie ka kuku, watakuja tu kukuomba!!!!!!
 
Acha uongo bwana wewe, kuna maji?
 
Kapicha tafadhali maneno matupu hayanogi

Napita
Kwa
Majonzi [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Nimeishi kikuyu ya juu hilo tatizo sijalipata, nikahamia maeneo ya magorofani pia sikukumbana nalo..
 
mbona ni ya kutafuta tu. tanzania hii kuna sehemu sio pachafu.
 
Nimeishi kikuyu ya juu hilo tatizo sijalipata, nikahamia maeneo ya magorofani pia sikukumbana nalo..
Mkuu Magorofani maarufu kama MAGOROFA YA CDA kuna shida ya maji tangu kitambo. Na nimefanikiwa kufika eneo hilo ambalo kwa sasa Magorofa mengi ni kama Magofu.

Eneo hilo pia lilikuwa na uchafu wa kutosha.
 
Magorofa ya Nhcf umefikaaa
 
Magorofa ya Nhcf umefikaaa
Waliyarekebisha na sasa ni Masafi. Wakati nafanya utafiti wangu kuna mdau alinielekeza maeneo hayo na nilienda face to face.

Yameboreshwa sana.
 
Kapicha tafadhali maneno matupu hayanogi

Napita
Kwa
Majonzi [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]

Nimefika Kituo cha Mabasi yaendayo Mikoa leo. Nilipotaka kupiga picha kuna mdau akanieleza kama nahitaji simu yangu niache hiyo shughuli.

Soko Kuu la Majengo Leo tangu Asubuhi Halmashauri walikuwa wanazoa uchafu.
 
Waliyarekebisha na sasa ni Masafi. Wakati nafanya utafiti wangu kuna mdau alinielekeza maeneo hayo na nilienda face to face.

Yameboreshwa sana.
Ila Kwa usafi 100%
 
Nimefika Kituo cha Mabasi yaendayo Mikoa leo. Nilipotaka kupiga picha kuna mdau akanieleza kama nahitaji simu yangu niache hiyo shughuli.

Soko Kuu la Majengo Leo tangu Asubuhi Halmashauri walikuwa wanazoa uchafu.
Sio uchafu bomoa bomoa imepita hapo unapoongelea uchafu unakosea wakat unaelewa kabisa walichokifanya reli ni nn unazan hapo mpaka stand ihame mambo yatakaa sawaa
 
Mkuu Magorofani maarufu kama MAGOROFA YA CDA kuna shida ya maji tangu kitambo. Na nimefanikiwa kufika eneo hilo ambalo kwa sasa Magorofa mengi ni kama Magofu.

Eneo hilo pia lilikuwa na uchafu wa kutosha.
sawa
 
Ila Kwa usafi 100%

Hapo Sokoni ni 40% kwa sasa. Maana kuna uchafu bado upo pale chini haujazolewa.

Mvua ikinyesha kuna uchafu wa kutosha eneo zima la soko na harufu Kali pia.

Upande wa karibu na KITUO CHA DALADALA CHA SANGO kuna Mama Lishe wengi sana ambao maji machafu humwaga KORONGONI. Hapo pia kuna uchafu na harufu mbaya.
 
Sio uchafu bomoa bomoa imepita hapo unapoongelea uchafu unakosea wakat unaelewa kabisa walichokifanya reli ni nn unazan hapo mpaka stand ihame mambo yatakaa sawaa

Mkuu Demiss, pale ni pachafu pamoja na kwamba walibomopewa. Vyakula vinauzwa kwenye Mazingira hayo hayo machafu.
 
Mkuu ulienda kwa shangazi yako au ulitumwa?vp wamekulipa sh.ngap?
 
Mkuu Demiss, pale ni pachafu pamoja na kwamba walibomopewa. Vyakula vinauzwa kwenye Mazingira hayo hayo machafu.
Ndiooooo Nimesema bomoa bomoa imeharibu mazingira
 
Serikali imepanga kuanzisha miji ya Kisasa kuzunguka mkoa wa Dodoma na itapendeza zaidi kuhamia jiji la Wanyakaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…