Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,605
Siye tunatokea Tandale, usafi kazi ya mvua.Mnaweza kuhamia ila hiyo Mitaa niliyoitaja hapo juu ni shida kwenye suala zima la usafi
Siye tunatokea Tandale, usafi kazi ya mvua.Mnaweza kuhamia ila hiyo Mitaa niliyoitaja hapo juu ni shida kwenye suala zima la usafi
watanzania kila kitu mnataka mashindano ya ubishi ,changamoto haibishiwi kwahiyo nyie mnataka yatajwe mazuri tu na mabaya yenu mtayajuaje ili mlekebishe!Dodoma ni mji mzuri sana ila unanapungufu kadhaa ambayo inahitajika kurekebishwa ikiwepo wa uchafu kwa baadhi ya maeneo kama mtoa mada alivyo alezea.
Shida ya maji? Dodoma ipi hiyo mkuuAsante kwa kunielewa,..
Ukiondoa kasoro ya uchafu na shida ya Maji Dodoma ni Mji Mzuri sana.
Shida ya maji? Wapi? Au uchumvi iliopo kwenye maji.Asante kwa kunielewa,..
Ukiondoa kasoro ya uchafu na shida ya Maji Dodoma ni Mji Mzuri sana.
Shida ya maji? Wapi? Au uchumvi iliopo kwenye maji.
Huu ni uongo ulio wazi dodoma haina shida ya maji nimekaa miaka 2 hapo!!..Wakati ambao viongozi Wakuu wakiwa Dodoma kuna baadhi ya maeneo hukumbwa na shida ya maji. Maji yanaweza yasitoke kwa siku hata tatu. Mfano, Chang'ombe, Kikuyu, Chadulu.
Hii inaonyesha kuwa miundo mbinu ya maji haitatosheleza pindi Wakuu na watu wengine wakihamia Dodoma.
Dodoma mifumo ya maji imefika hadi mkonze kuelekea mbele huko kama utaenda iringa, ukielekea kwa pinda zuzu maji yapo, ukija kizota-nkuhungu maji yapo rudi huku ilazo-kisasa sasa nyie mnaosema maji ya shida au mnamaanisha vijijini huko?...
Chadulu zipo mbili kama ilivyo Makole na hata hiyo Kikuyu zimegawanyika pia!..
Dodoma hakuna shida ya maji, hiyo ya maji kukatika huwa Ni dharura tuNi sawa kabisa.. miundo mbinu kama mabomba yapo sehemu kubwa sana, tatizo ni utokaji wa Maji. Fanya utafiti hasa wakati ambao Wakubwa wapo Dodoma utanielewa vizuri.
Watu wanaoishi maeneo kama Kisasa, Area C na D hawawezi kuona shida hii kwa sababu ni maeneo ambayo Wakubwa wanaishi na maji yapo muda wote.
Hayo unayosema yanaweza kuwa kweli. Ila kwa faida ya wanajukwaa ungeweka picha za kuthibitisha hicho anachoongea ingekuwa vema sana. Hapo ungalitenganisha mafuta na maji kiulaiiiniiKuhusu Saba saba, Hazina, Mlezi na hata Kikuyu sio yote
Dodoma barabara zote zinaeleweka na suala la usafi maeneo mengi limezingatiwa labda kama kuna tatizo la uzoaji taka
Dodoma mimi ni home away from home, nimekulia hapo na kusoma hapo na likizo huwa nipo hapo,
Tena hiyo Majengo Sokoni nimekuta na huo mtaro umesafishwa unang'aa kitu ambacho sijawahi kuona kifanye miaka mingi niliyoishi hapo.
Sasa sijui uchafu huo unaoongelea wewe ni upi na sikatai kuna baadhi ya maeneo bado si masafi sana ila asilimia kubwa ya Maeneo uliyoyataja hujawa mkweli
Mkuu club84 hivi bado kuna watu wanaendaga?? Wewe utakuwa unaongelea Dodoma ya zamani. Sasa hivi Malaya wote utawakuta malaikana vipofu wapo wengi sana, malaya ndo usiseme fika hapo tanzania guest, chako ni chako, club la aziz, 84club, kilima, ndo utaifurahia dodoma, ukitaka kuichukia, nenda kwa wahuni kama gwasa, chadulu, chang'ombe, maili mbili, njedengwa, makulu,kizota, huko utakimbizwa, mpaka utaona bora ukate mambupu uyatupe kwamba yanakuongezea uzito
sawa mkuu niliishi hapo miak ya 2008 nilijua kutakuwa na mabadilikoMkuu club84 hivi bado kuna watu wanaendaga?? Wewe utakuwa unaongelea Dodoma ya zamani. Sasa hivi Malaya wote utawakuta malaika