Ifahamu Dodoma

dodoma ni mji mzuri, ila shida yake ni maji. maji yake ni ya chumvi na ni ya shida sana. hilo tu. siku maji ya victoria yakifika pale huo mji utakuwa bora sana. pia uchawi, warangi wengi, waswahili wamejaa pale kati.
 

Asante kwa kunielewa,..

Ukiondoa kasoro ya uchafu na shida ya Maji Dodoma ni Mji Mzuri sana.
 
CCM hata kusimamia usafi wa mji mkuu wa nchi hawawezi. Sijui wanaweza nini hawa walaghai
 
Shida ya maji? Wapi? Au uchumvi iliopo kwenye maji.

Wakati ambao viongozi Wakuu wakiwa Dodoma kuna baadhi ya maeneo hukumbwa na shida ya maji. Maji yanaweza yasitoke kwa siku hata tatu. Mfano, Chang'ombe, Kikuyu, Chadulu.

Hii inaonyesha kuwa miundo mbinu ya maji haitatosheleza pindi Wakuu na watu wengine wakihamia Dodoma.
 
Unaweza ku - "SUBSCRIBE " Topic hii ili nitakapo andika SEHEMU YA 2 tuweze kuwa pamoja.
 
Huu ni uongo ulio wazi dodoma haina shida ya maji nimekaa miaka 2 hapo!!..
Labda uniambie kikuyu ipi, chadulu ipi zenye hilo tatizo!?..hayo maeneo ni makubwa sawa na kusema temeke/ubungo/tabata
 
Dodoma mifumo ya maji imefika hadi mkonze kuelekea mbele huko kama utaenda iringa, ukielekea kwa pinda zuzu maji yapo, ukija kizota-nkuhungu maji yapo rudi huku ilazo-kisasa sasa nyie mnaosema maji ya shida au mnamaanisha vijijini huko?...
Chadulu zipo mbili kama ilivyo Makole na hata hiyo Kikuyu zimegawanyika pia!..
 

Ni sawa kabisa.. miundo mbinu kama mabomba yapo sehemu kubwa sana, tatizo ni utokaji wa Maji. Fanya utafiti hasa wakati ambao Wakubwa wapo Dodoma utanielewa vizuri.

Watu wanaoishi maeneo kama Kisasa, Area C na D hawawezi kuona shida hii kwa sababu ni maeneo ambayo Wakubwa wanaishi na maji yapo muda wote.
 
Dodoma hakuna shida ya maji, hiyo ya maji kukatika huwa Ni dharura tu
 
na vipofu wapo wengi sana, malaya ndo usiseme fika hapo tanzania guest, chako ni chako, club la aziz, 84club, kilima, ndo utaifurahia dodoma, ukitaka kuichukia, nenda kwa wahuni kama gwasa, chadulu, chang'ombe, maili mbili, njedengwa, makulu,kizota, huko utakimbizwa, mpaka utaona bora ukate mambupu uyatupe kwamba yanakuongezea uzito
 
Hayo unayosema yanaweza kuwa kweli. Ila kwa faida ya wanajukwaa ungeweka picha za kuthibitisha hicho anachoongea ingekuwa vema sana. Hapo ungalitenganisha mafuta na maji kiulaiiinii
 
Mkuu club84 hivi bado kuna watu wanaendaga?? Wewe utakuwa unaongelea Dodoma ya zamani. Sasa hivi Malaya wote utawakuta malaika
 
Mkuu club84 hivi bado kuna watu wanaendaga?? Wewe utakuwa unaongelea Dodoma ya zamani. Sasa hivi Malaya wote utawakuta malaika
sawa mkuu niliishi hapo miak ya 2008 nilijua kutakuwa na mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…