HABARI WANA JF.
Watu wengi wameulizia kuhusu huduma zetu za consultation kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji.
Huduma hii inalipiwa, ukitaka kuwasiliana namimi kwaajili ya kukupa elimu, kukushauri na au hata kuku mentor sio bure. Ni garama.
Kwa wale wanaotaka huduma za bure karibuni kwenye page yetu hapa msome machapisho yetu ni bure. Hivyo huduma ya bure inaishia huku.
NB: Kama unahitaji kufanya Biashara hatua ya kwanza kabisa ni kuwekeza kwenye maarifa ya biashara husika. Kama huwezi kuwekeza kwenye maarifa ambayo ndio msingi wa biashara, hutaweza kufanya biashara.
Whatsapp +255787942757