IF YOU UNDERSTAND MEANING TYPE "Yes"

Poleeee, mjamaa ameona mwenziake kapata jiwe kaacha kuchimba shimo lake anakomaa kwenye shimo la mwenzake wakati katika shimo lake angeendelea kidogo tu angeokota jiwe, huo ndio ukweli wa maisha tunayoishi .....
Halafu huyu aliyewahi kupata jiwe ni mzungu wakati mwingine aliyechelewa ni mweusi.

What does it reflect?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom