IF YOU UNDERSTAND MEANING TYPE "Yes"

Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
3,217
2,000
Poleeee, mjamaa ameona mwenziake kapata jiwe kaacha kuchimba shimo lake anakomaa kwenye shimo la mwenzake wakati katika shimo lake angeendelea kidogo tu angeokota jiwe, huo ndio ukweli wa maisha tunayoishi .....
Hakuna jina lingine ungeweza kutumia mkuu zaidi ya Jiwe?
 
Top Bottom