IF YOU UNDERSTAND MEANING TYPE "Yes"

IF YOU UNDERSTAND MEANING TYPE "Yes"

Poleeee, mjamaa ameona mwenziake kapata jiwe kaacha kuchimba shimo lake anakomaa kwenye shimo la mwenzake wakati katika shimo lake angeendelea kidogo tu angeokota jiwe, huo ndio ukweli wa maisha tunayoishi .....
Hii ndio yes yako hujaambiwa utuelekeze paka wewe
 
Mimi nina mtizamo tofauti. Huyo wa kwanza baada ya kuoata kipande cha Almasi akaridhika na kuacha chimbo. Mwenzie kuona hivyo akaona bila shaka patakuwepo Almasi nyingi kwasababu kawaida ukiona kipande cha kwanza cha Almasi ujue ni ishara hapo hapo kuna Almasi zaidi ndo uzidi kuchimba na kukomaa. Mwenzie kaamishia udongo wote kwenye chimbo lake na thamani ya Almasi atakayoipata itakuwa kubwa kuliko ya jamaa. Vijana ukipata fursa isiridhike na kalaki kamoja ulikokapata na kuacha kazi. Endelea kukomaa kuna mamilioni hapo vinginevyo wenzio watakuja na kukomba kila kitu ukija kushutuka umechelewa
 
Naheshimu maoni yako
 
Back
Top Bottom