Most of all, the wife is the reason behind what he become at the momentHe is happy at home that is what matters most.
Defo tungesema limbwataaa.Bongo mama mkwe angeshamtoa granny kwenye nyumba ya mwanae
Ndoa za wezentu zinamalengo sisi tunafuata eti Chura sio Brain tu......huyu mama kamuongoza paka kapata uraisi........
Mbona kuna mwanamziki mmoja wa Bongo wa Bongo fleva ya kwake ni kama hii kwa kiasi fulani kwani step father wanataka kulingana au wanalingana kiumri. Mwanamziki huyo anajina la kimziki la moja ya madini yachimbwayo.Wazungu wanachulia maisha tofauti sana na sisi. Sasa rais unaoa mke past menopause.
Ingekuwa bongo tungemchunguza mganga wa wa mrs Macron.
Yeye ni wa mwisho kuzaliwa kwenye familia yake ila wa kwanza kuheshimiwa kwenye nchi yake.
DhahabuMbona kuna mwanamziki mmoja wa Bongo wa Bongo fleva ya kwake ni kama hii kwa kiasi fulani kwani step father wanataka kulingana au wanalingana kiumri. Mwanamziki huyo anajina la kimziki la moja ya madini yachimbwayo.
SahihishaMost of all, the wife is the reason behind what he become at the moment
Sent using Jamii Forums mobile app
almasiDhahabu
😁😂😀