If you don't stand for something,...- Malcom X!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Huu ni msemo wa Mmarekani maarufu kuliko wote Duniani Malcom X, kwamba kama hauna msimamo maishani mwako basi wewe kila gari utadandia tu bioa hata ya kujua uelekeo wake, ndiyo sisi Waafrika tulivyo kila Gari tunadandia tu linakotupeleka wala hatujui!

,,If dont stand for something you will fall for anything"!

Hawa ni wahitimu wa Chuo Kikuu cha Aga Khan, kulikuwa na haja gani kuvyaa Kishia? Wewe mtu mweusi na Shia Islamu wapi na wapi?

Hapa ni Tanzania na sisi ni Watanzania hivyo hicho Chuo kilipaswa kuambiwa kwamba Muhitimu wa Chuo Kikuu hapa anavaa hivi na siyo vile utakavyao wewe, hutaki sepa!

Naibu Gavana wetu akivaa kama Aga Khan!
4.JPG


6.JPG


Upuuzi na Ujinga huu!
1.JPG
 
hata hivyo wametokelezea...halafu wame-mechisha na rangi ya Ukumbi..

Mkuu,kumbuka amlipaye mpiga zumari...ndiye achaguae wimbo UPI uchezwe..
 
Watu wanapoongea neno 'huria' wanamaanisha serikali itaweka taratibu na sheria za kufuatwa na watu wote ambazo hizo taratibu am pretty sure hazitahusisha nguo za kuvaa.
Ndiyo maana mtu mmoja mwenye mawazo kama yako juu ya mavazi aliposema wahitimu wa levo fulani wasivae majoho raia timamu wote wakamshangaa.

Oops kumbe wewe na yule mtu mnatoka nyumba moja!!!
 
Back
Top Bottom