Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,721
- 1,515
Nimeandika Makala hii nikiwa sina interest ya chama cha siasa, Makala hii sio kwa ajili ya sehemu yoyote, lakini ikiwa na lengo na kutoa maoni yangu binafsi kuhusu dada la taifa napenda kumuita Dokta Mange Kimambi, Japokuwa kuna watakaopinga juu ya kumuita huyu kama dokta lakini kwa kweli kwa interest zangu mimi namuita Dokta Mange Kimambi.
Makala hii ni maalam to you Dear Doctor Mange Kimambi, Kwenye heading kuna msemo maarufu sana kutoka kwa mmoja ya wanaharakati nchini amerika wakuita Malcom X “Failure is the success if you learn from it”
Dear Dokta Mange, nimesikitishwa sana kwa ulivoandika katika ukurasa wako wsa instagrm kuwa “Siposti matatizo yenu, wala kero zenu, ili zisishughulikiwe ziwaume Zaidi”
Dear Dokta Mange katika kitu ulichojifunza ni kuwa it was too long for mass protest, kama uligundua hili kwanini unataka kuwaacha watanzania wapambana na hali yao? Katika kauli hii ya kwako mwenyewe binafsi kuwa “miezi miwili was too long a time to plan a mass protest” Kutoka kwenye hiyo kauli naamini bado Nukuu ya Malcom X inaishi kuwa “Failure is the success if you learn from it”
Dear Dokta Mange umejua makosa ni wapi ulifanya huu ni wakati wako sasa kufanya jambo kubwa Zaidi, na kurekebisha makosa yako ya hapo mwanzoni for the future success.
Dear Dokta Mange kwa sasa wewe ni kama Nabii Mussa ambapo waisraeli walikuwa wanamtegemea kuwafikisha kwenye nchi ya Ahadi. Kama leo hii ukiwaacha njiani katika safari ambayo umeianza na watu wamekuunga mkono, Unahisi huo sio usaliti?
Dear Dokta Mange kama wewe una Imani ya kiislamu nadhani unajua fika namna gani Nabii Mussa (a.s) alikuwa anafanyiwa na waisraeli lakini hakuchoka na aliendelea nao mpaka nchi ya Ahadi,
Dear dokta Mange furaha ingewepo Zaidi kama baaada ya kushindwa kufikia malengo ungeliandika tu “Like I said, we live, we learn but giving up is not an option” kwa sababu ulianza kwa kusema kuwa safari hii ambayo umeanzisha kuwa haijawahi kuwa rahisi hata siku moja, kwanini unataka uwaache watu kabla ya kufika katika nchi ya Ahadi?
Dear Dokta Mange “Real leaders must be ready to sacrifice all for the freedom of their people." Kumbuka ex-country sweetheart alifanya nini siku moja kabla, Angalia watu walimjibu nini, Leo hii unapotaka kuwaacha watu wapambane na hali yao ina maana gani? Kiufupi inakuwa umewasaliti watu ambao wameshaanza kukuunga mkono, bado miili yao tu hapa It is Matter of Time tu,
Dear Dokta Mange nimesema ni Matter of time tu, Usivunjike moyo, Ulipofika kama ni nyumba ushafungulia gesi alafu umemuachia mototo achezee kiberiti. Siku yoyote atalipua hiyo nyumba, Ndio maana nasema ni IT IS MATTER OF TIME (muda tu).
Dear Dokta Mange usiangalie ni watu wangapi wanakusapoti au hawakusapoti, mfano mzuri kabisa ni Kiongozi wa zamani wa Cuba Fidel Castro anasema alianza akiwa na watu themanini “I began revolution with 82 men. If I had to do it again, I do it with 10 or 15 and absolute faith. It does not matter how small you are if you have faith and plan of action.”
Dear Dokta Mange unataka kusema kama leo hii ungelikuwa Fidel Castro usingeifikisha Cuba hapa ilipo sasa?
Dear Dokta Mange have you lost faith from your followers? You don’t have plan any more?
Dear Dokta Mange ina maana plan zako zote zimeisha, La hapana najua kuna Single use Plan, Standing Plan pamoja na ile contingency plan, Kwanini unaandika kuwaacha wanaokufuta mwenyewe?
Dear Dokta Mange ina maana wewe haujawahi kusoma historia ya mapinduzi ya viwanda huko ulaya? Kuanzia Steam engine mpaka leo hii ilipofikia? Jitihada zako ukilinganisha na mapinduzi ya viwanda bado upo katika hatua za awali hipo siku utafikia modern industries.
Dear Dokta Mange waambie kuwa kazi yako is not a dinner party, or writing an essay, or painting a picture, or doing embroidery, Hiki ni kitu pekee ambapo watu wanahitajika kujua waambie kuwa Matunda ndio kitu pekee ambacho tunasubiria liive ndio lidondoke. Lakini kwa hili lazima tulifuatie huko huko.
Dear Dokta Mange Unanikumbusha mbali kidogo ambapo mmoja ya waandishi wa kimarekani Antony Kapel Maarufu kama Van Jones alisema “Stop using your phones and laptops as toys and use them to start a revolution.”
Dear Dokta Mange naona na wewe unaishi katika huu msemo, huu msemo wa Van Jones ni Mpana sana maana kuna watu wana Smartphone miaka 10 now lakini wao wanaijua Facebook, Whattsapp, Twitter, Instagram tu, Wakati huo kuna features mbali mbali kuna vitu vingi vya kufanya kwa Smartphone kuliko kuchat kwenye Mitandao tu.
Dear Dokta Mange usijione huko inferior sana kwa kuwa ulichopanga bado hakijafanyika lakini naomba ujue kuwa Hilo lengo lako was first a thought in one man's mind,
Dear Dokta mange kama tayari lengo lishakuwa kwenye Man’s mind, Hiyo ni hatua moja kubwa sana ya kukaa ndani kwako nawe ukaanza kucheka kihutu…
Dear Dokta Mange kama umeianza safari basi tambua wazi kwa mujibu wa Audre Lorde “Lengo lako is not a one time event.” So don’t thinks you are a loser for this game, Ili safari ianze na tufike vizuri lazima first must have to identify the routes and destination of the journey.
Dear Dokta Mange kama unapitia neno la mungu naomba usiache kusoma 1 Corinthians 16:13, inatuambia kuwa “Be on your guard; stand firm in the faith; be men of courage; be strong.” Kama utapitia hapo basi ni kabisa leo hii hauwezi kujiona dhaifu. Lazima usimamie imara katika Imani yako, na ufanye kiume ili uwe hodari, kwahiyo usijali.
Dear Dokta Mange muanzilishi wa Alibaba Jack Ma aliwahi sema kuwa “Never give up. Today is hard, tomorrow will be worse, but the day after tomorrow will be sunshine.” Kwahiyo magumu ya leo na mabaya ya kesho ni kwa ajili ya Bright future kwa ajili ya kesho kutwa,
Dear Dokta Mange magumu ya leo ni kwa ajjli ya kesho mzuri, kwani haujui ule msemo wa ukiona mateso yanazidi basi ujue ukombozi unakaribia? Au kuna msemo unaofanana na huo ule wa “Giza likizidi tujue karibu kunakucha”
Dear Dokta Mange kwa misemo hiyo bado haujajifunza kitu, kuwa giza linapozidi ndipo hata hao waliolala wanaamka, Ipo siku hawa unaowaona wafu watazinduka kutokea kuzimu walikolala?
Dear Dokta Mange kwani wewe si unakaa huko kwa akina Lily Wayne, Eminem, Rihanna nk kwani haujui ule msemo wa Nick Minaj kuwa “Your victory is right around the corner. Never give up.” Kama ulivyosema kuwa “naomba msife Moyo” Basi na wewe Dokta Mange tunaomba usife Moyo. Kundi kubwa liko kwako.
Dear Dokta Mange nina mengi ya kusema Lakini naomba kumbuka msemo wa mdogo wako wakuita Kaetyln Osmond “To pursue anything, you've got to have fun with it and to just never give up on it.”
Dear Dokta Mange naomba ufanyie kazi ujumbe huu wa wazi kabisa, Hauwezi kuwasusa watu wengi walio nyuma yako, Maana kwa kweli Huo unabaki kuwa kama michezo ya kitoto, ambapo ukigombana na rafiki ako unasema sichezi na wewe. NEVER GIVE UP PIGA KAZI?