If you can't afford her, then upgrade

Wasalaam wandugu....

To the topic...

Well imekua ni jambo la kawaida sanaa kwa wengi wetu sisi wanaume/vijana kutamani wanawake warembo na kuishia kulalamika....ooh sijui wanawake wa siku hizi wanapenda sanaa mizinga sijui wanatanguliza sanaa hela mbele and that very few wana mapenzi ya dhati and the like.

Well its OK

Tehe sina maana ya kuwatetea mabebez ila tukirudi kwenye maandiko mwanamme alishaambiwa atakula kwa jasho (sasa pale kwenye kula kwa tafsiri yangu isiyo rasmi naweza sema mwamamme ukitaka au kutamani kitu/jambo ni lazima kulifanyia kazi nd forget about getting it for free) unlike wanawake wao nature yao ni kufwatwa na kutunzwa tu na mwanamme, So piga kazi.

PESA PESA PESA, PESA na MAPENZI has been a song sang for decades that bila pesa hupati utamu, raha, mahaba, penzi (Kila siku humu JF watu ni kulalama tu kuhusu pesa na mapenzi all day everyday tehe). Ni painful fact ambayo mimi binafsi nimekwisha i accept takribani huu mwaka wa 5 sasa kwamba kama sina hela za kutosha kuna mambo mengi sana nitashindwa fanya kwenye hii dunia na nitapitwa na mengi sanaa. Its simply a change in mindset.

Ajira/Kibarua chako kamwe hakitaweza kukupatia pesa nyingi za wewe ku afford le mbebez of ur dreams nd if it does definitely hautakua na mwisho mzuri. Ukiona mwanamke yoyote kisu just kno ur gana need money to have and keep her (Then true love will definitely come on its own).

Its a fact.... Binafsi niliamua kuchukua hatua kuanzisha biashara yangu mwenyewe kwa savings kadhaa nilizokua nazo nd nikatumia le mbebez wakali hao hao ku market my biz and homey i just witness my biz grow big each day nd have enough to spend on the things i want, let alone mabebez hao hao kujigonga gonga niwapige show hahaha.

Sijisifii ujinga or sound ride u guys up in here, im just sharing my experience i.e. from being called and dismissed as a broke unlucky nigga in high school by these chicks to being a young visionary handsome man making multiple digits a year (i can't spill all the beans up in here).

I do not kno what u going through or the hard times ur facing or how bad u have been mis-treated by your peers, friends or these so called women. I just wanna tell you IT IS POSSIBLE !!!

Find something ur passionate on, register your business and get to work. Kwa wale walio litambua hili mapema Best of Luck !!! Ni mtazamo tu jamani.


Regards

Senior Boss.

Mkuu uko sahihi 100%!
 
Eti aku keep!, wewe bwana! :D




Girl unajua kuna waume wa hivi, it's so weird yaani. Mwanaume kutafuta bwana. Hata sisi ni vizuri kutafuta lakini huwa haipendezi wanaume kukaa tu. This's where I applaud Senior Boss, it's not right what he's doing to women but at least women make him hustle...lol!
Eeh kuhustle wahustle tu coz maisha ndo yanavyotaka na umaskini sio sifa wala raha jamani, kwa hilo ntawapa "RESPEK" . Ila pia sio guarantee ya ku-afford kila mwanamke teh
 
It happens a lot. Kuna muda unakutana na mtu ana hela tu ya kawaida + vigezo anavyo, but unaona kabisa mmh huu ni mgodi unatema anytime. Mtu ana promising future ileee, unamuachaje kwa mfano

Na hapo ndo wanaume wengi wanapofail. Anakuwa Na mwanamke, anamtreat anyhow coz anajua utamganda tu kisa vijicent vyake au ukiondoka he can simply replace with you with another girl of his choice. Aisee, hela nimenyimwa ila no man can ever treat me as one of his items chaaaaa


Exactly, halafu there're some nice men out there with loads of personality, but less finance. Sometimes it's good to look beyond what money can offer, and try to see what a person can offer.

Yaani hakuna kitu kibaya kuwa treated as an item just because you have to wait on somebody.
Gaal, there's no better feeling like having our own,
Independent queens working for our own throne.
 
Nakuhakikishia kuna mademu wewe na kakibarua kako huji wagusa hata siku,
Sasa kama unadhani kila demu ni kanjanja basi huko Marekani ulikosema umekaa hakujakufungua akili.
Bwahaaahaaaa eti NO MONEY NO LOVE!!
Stop being a PUTZ!!
 
Exactly, halafu there're some nice men out there with loads of personality, but less finance. Sometimes it's good to look beyond what money can offer, and try to see what a person can offer.

Yaani hakuna kitu kibaya kuwa treated as an item just because you have to wait on somebody.
Gaal, there's no better feeling like having our own,
Independent queens working for our own throne.
Need I say more malkia wa nguvu?

#Queening#
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hahaha kwani anaye-afford one meal kwa kuuza maji maybe si anajikeep mwenyewe au? What I meant is "I live within my means", so kuwe na mbabes kusiwepo l, me maisha yangu yanaendelea tu Alhamdulillah

You thought you don't have to incur a lot to have me? Kwamba ujikalishe tu ndani bila sababu tulishane michicha chukuchuku weee. Ingawa ya Mungu mengi, kuna watu wana-hustle ila hawatoki, kwa huyu aah I'm gonna be his ride or die chick, Mungu ataziona tu hustles zake siku moja
I love u ghafla u kno.

Daah wanawake wote wangekua wanajua kutia moyo hivi ingekua mzuka sanaaa. Lol
 
First of all I aint desperate for love or sex.

Kulelewa na kukuzwa na wazee wa kichagga maisha ya kawaida though wazee wanavyo vya kutosha kumenifundisha mengi sanaaa. Kumenifundisha nidhamu ya hela na kuwa na courage ya kutafuta vyangu despite what my parents have and that one must be strong enough to overcome life challenges on his own.

I aint hustling just for any lady lol......its for someone special nd dear to you ili penzi li komae na kuwa tamu lazma hela uwe nayo otherwise mtaishia kutumiana texts za " I love you " & " I love you too ". Siku moja moja mnakula tour national parks, zanzibar, bagamoyo spending a few bucks et al. Hata kama mmependana genuinely lakini ndio vile u gotta live it up nd appreciate life.

Siku mnajitia uchizi mnaenda hata carribbean, barbados nini .....nikiwa US & UK wapo madogo kufanya such things ilikua ni kawaida sanaa ila its after hard work.

Sasa sio mna nyegeka mshazoea kujitia Tupa Tupa Guest House day in day out man. WTF.

That is why i say a nigga gotta grind his butt OFF.


Hahaha!...eti tupa tupa GH.

Gat you now!, ni kweli pesa is important na kuweka bidii ya kutafuta in order to have a life full of peace of mind, is a smart idea. Hakuna mtu hapendi ku vacay far from home at least once a year and shop in high end stores.

Lakini idea ya kwamba ukishazipata you have a pass to lay down every woman that you see, is what we're against with.
 
Tehe! teh!
Gal, umekuwa Senior Boss kwake sasa.

Senior Boss I can assure you, this one right here is Unique. She was indeed dropped straight from the heavens. :)
Hehehe ana hamu ya kulishwa mchicha chukuchuku

Eeeh hizo sifa zitarefusha zaidi chogo langu uuuuuuh
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mbona nimesema kabisa kuwa si-underestimate umuhimu wa pesa kwenye mahusiano, na ku-date mtu kisa maskini sijui kama ni sifa. I know kwamba pesa ina role kubwa but sio kwamba mahusiano yote yataevolve around hela. Na sio kwamba ukiwa na hela ndo utampata kila mwanamke unayemtaka. Unfortunately sio wanawake wote ni items, kwamba ukiwa na cents kadhaa tu unamnunua, Hell No. Afu Mbona watu kibao wana hela na wanazinguliwa na mapenzi daily!!!!!. Anyway ni mentality nzuri kudhani kuwa ukiwa tu na hela utaafford mwanamke yeyote as inawafanya mu-hustle zaidi. We appreciate your hustles Coz mwisho wa siku mtu ame-add value kwenye maisha yake
I suwea wewe ni mwanamke wa kipekeee Sana tena Uko tofauti kabisa Nafikir utakua unarange around 28-36 safi Sana umesimamia katika kundi la wanawake wanaojitambua kabisa yani umenifanya niendelee kuusoma huu uzi maana aliyeleta alikuja na miemko ya kumbukumbu za ban ya mapenz ya pesa na ili immotivate kuvuja Jasho mpaka leo kapata kiburi cha Povu la ...thanks in advance Woman.
 
Eti aku keep!, wewe bwana! :D




Girl unajua kuna waume wa hivi, it's so weird yaani. Mwanaume kutafuta bwana. Hata sisi ni vizuri kutafuta lakini huwa haipendezi wanaume kukaa tu. This's where I applaud Senior Boss, it's not right what he's doing to women but at least women make him hustle...lol!
Hahaha True alaf licha ya kuwa na gutts za ku win madem wakali.

Kitu kingine heshima na adabu lazima inakuwepo.

Sio tunakaa counter moja tunapiga vyupa tunachukuliana poa mjini hapa. Lazima kuwe na heshima mtu akikuletea ujinga unamuitia defender unamtia ndani kwa vijana wa kazi huko.
 
  • Thanks
Reactions: kui

Similar Discussions

Back
Top Bottom