ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Naweza kukusapoti vitu viwili..Other things remaining constant.
I was talking on average grounds fam that bila mbongo not only women but a chance to enjoy wit ur love itakua ndogo sanaa na utapitwa na mengi sanaa.
90% of men wanapendwa na wanawake wasiowataka wao na unayemtaka humpati kama vigezo huna na hata ukimpata ni ngumu sana kum keep kama huna hela.
1.) kwamba on da level of maintaining/keeping her, money is very crucial
2.) its vividly true that sisi wanaume 90% tunapendwa na tusiowapenda
But niko against nawe kwenye kumpata dem yoyote kwa kigezo cha pesa,....i tell u, wanawake ni viumbe wa ajabu sana na wanatofautiana sana asikwambie mtu.
Yan ukimpata dem usijidai kuwa umempata kwa hela zako no no no, ukwel ni kuwa umempata maana na yeye kakukubali but not vice-versa.
Kama alivyosema hapo kwenye comment ya Heaven Sent kuwa wapo..
{¡} wanawake wana cash zao kuliko ulizonazo wewe, so itokee tu ngekewa akudondokee wewe na wala sio wewe kumhonga
{¡¡}wapo wanaume wenye kisu kikali wana-offer kuliko unavyo-offer wewe.
{¡¡¡}wapo wanawake wanamtaka mwanaume mwenye vitu vyote kwa pamoja mfano hela pamoja na mambo mengine mfano elimu nzuri, u-handsome, famila bora, bright person, n.k, so if money is the only thing that you can offer, then kwa hapa utabugi..
{¡v}You can never be the right man for every woman, no matter what... Hapa ina maana kila mwanamke ana chaguo lake linalomkosha sasa wewe ukigeneralize kila ki2 ni pesa utachemka sana. Mi ninawaona madem wa kawaida wazuri sana ila they are very selective na wanachek sana nan watoke nae na sio kwa sababu una hela tu.
(Among many wenye uwezo kama wewe au zaid anapick 1 ambaye anataka awe na quality zake)
I THINK, HELA NI TOOL MOJAWAPO YA KUWAPATA HAWA MALAIKA ILA DON'T GENERALIZE THAT IT WILL WORKS FOR EVERYONE - it will just widening your scene but not to everyone...
Chaooos..!!!