If you can't afford her, then upgrade

I suwea wewe ni mwanamke wa kipekeee Sana tena Uko tofauti kabisa Nafikir utakua unarange around 28-36 safi Sana umesimamia katika kundi la wanawake wanaojitambua kabisa yani umenifanya niendelee kuusoma huu uzi maana aliyeleta alikuja na miemko ya kumbukumbu za ban ya mapenz ya pesa na ili immotivate kuvuja Jasho mpaka leo kapata kiburi cha Povu la ...thanks in advance Woman.
Hahaha its funny how a nigga brags nd doesn't even know me.

Get a Life man !!
 
Hahaha True alaf licha ya kuwa na jeuri ya ku win madem wakali.

Kitu kingine heshima na adabu lazima inakuwepo.

Sio tunakaa counter moja tunapiga vyupa tunachukuliana poa mjini hapa. Lazima kuwe na heshima mtu akikuletea ujinga unamuitia defender unamtia ndani kwa vijana wa kazi huko.

Teh!, ni kweli unakuwa na nguvu ya ubabe juu.

Uongo mbaya, I adore men who're real hustlers hata kama they're doing it with a struggle. So long as they have that mind settled into Work.
It's such a turn on.
 
Teh!, ni kweli unakuwa na nguvu ya ubabe juu.

Uongo mbaya, I adore men who're real hustlers hata kama they're doing it with a struggle. So long as they have that mind settled into Working.
It's such a turn on.
Ndio maana yake.

I naturally love POWER.

So a nigga ni either utafute hela au UAMUE kutafuta hela kweli kweli. There is no turning back.

Money can be evil but being Broke ain't holy.
 
I suwea wewe ni mwanamke wa kipekeee Sana tena Uko tofauti kabisa Nafikir utakua unarange around 28-36 safi Sana umesimamia katika kundi la wanawake wanaojitambua kabisa yani umenifanya niendelee kuusoma huu uzi maana aliyeleta alikuja na miemko ya kumbukumbu za ban ya mapenz ya pesa na ili immotivate kuvuja Jasho mpaka leo kapata kiburi cha Povu la ...thanks in advance Woman.
Hahaha I'm super humbled you know
 
Hahaha True alaf licha ya kuwa na gutts za ku win madem wakali.

Kitu kingine heshima na adabu lazima inakuwepo.

Sio tunakaa counter moja tunapiga vyupa tunachukuliana poa mjini hapa. Lazima kuwe na heshima mtu akikuletea ujinga unamuitia defender unamtia ndani kwa vijana wa kazi huko.
We jamaa comment zako huwa zinanifurahisha sana.
 
Oooh one must upgrade himself, for oneself and not for others. Should a man add value to his life simply because he wants to woo women? I can't underestimate the power of money in any relationship, but along with the cash, you can't have every woman you want all the time.

1. Kuna wanawake wana cash kuliko ulizonazo wewe, so itokee tu ngekewa akudondokee

2. Kuna wanaume wanao-offer kuliko unavyo-offer wewe. Mwenye kisu kikali. ...

3. Some women want everything in a package, so if money is the only thing that you can offer, then puliiiiz .......

4. You will never be the right man for every woman, no matter what

Tafuteni hela kwa ajili ya future zenu na familia zenu. Afu Leo hela zipo kesho hazipo kama jana, hao wanawake wa kuwavuta kwa hela utawa-keep na nini tena?
Umemjibu vema..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom