Ningehakikisha nitonye na sweetlady wanafunga ndoa halali, mbele ya mashuhuda kibao wa hapa chit chat ili asiendelee kuisumbua ndoa yangu na marejesho! Ningewaalika na wapambe wake wote, akina Erickb52, Mungi, Blaki Womani, PakaJimmy, Arushaone, na wengine wote! Nimechoka bana!!!!!? Khaa! Lol....

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.