thatonegAl
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 825
- 1,886
tatizo mnakosea kanuni za mchezo ktk game la mahabat...jifunze kanuni mpya
u think yo ar hap but ur not. kuelezatu haya huku ni ishara nzuri ya kuahahaha u seem to forget so easily...i said am happy here,only seeking for forgivness coz nahisi nimemuudhi sana
Thank you my dia,we cant be lover my dia hata friends ni ule wa kawaida si ule wa sanaaa,ni kutokua maadui tu ndo nachotaka.
unaujua huu wimbo? kuna wanaosema if we cant be lovers, we cant be friends. Sasa wewe mtoa mada u better not regret and wish to turn the days back like R. Kelly can u afford to be friends while he is not ur lover and it happens u were in thought of being lovers?? Better think twice like Celine Dion. All the best this is what came into my mind after
reads ur thead, good day.
ni msamaha tu mpendwa nothing else,yeah am not happy because najutia kushindwa kujizuia kuongozwa na hasirau think yo ar hap but ur not. kuelezatu haya huku ni ishara nzuri ya kua
there is a conflict between yourself. hata hivyo kitu sahihi ni kumtafuta
umuombe msamaham (kama kweli ni msamaha unataka)
hahaha u seem to forget so easily...i said am happy here,only seeking for forgivness coz nahisi nimemuudhi sana
unaujua huu wimbo? kuna wanaosema if we cant be lovers, we cant be friends. Sasa wewe mtoa mada u better not regret and wish to turn the days back like R. Kelly can u afford to be friends while he is not ur lover and it happens u were in thought of being lovers?? Better think twice like Celine Dion. All the best this is what came into my mind after reads ur thead, good day.
Thats true my dia,i wonder kwann watu wasiwe wakweli tu,kama haumtak mtu unasema tuPole,ila sidhani kama unatakiwa kujihisi ni mkosaji kiasi icho afterall km uyo msichana aliyosema ni kweli bhac that man wasn't taking yu serious.....I have been in the same shit lakn namshukuru mungu was able to let it go na sikuwahi kumuuliza kitu yule mwanaume...mapenz hapana jamani.
Siamini.
Na umri huu naamini kuna kitu unakimiss kwa huyu mtu na msamaha unachukuliwa kama ngao tu.
Huyu uliyenae sasa hivi umeshamshirisha kuwa umemuudhi ex wako na guilty inakusuta kiasi kwamba unatamani muda ungerudi nyuma ili umwombe "msamaha"?
Ur ryt my dia imepunguza mzgo kidogo,as i said ni ngumu sana ku have face to face talk since yuko mbali sana na sijui lini atarudiThis can reduce the guilty that u feel bt inorder to be free just find him have a talk face to face,tell him how sorry u a,in that way u will be free once for all
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili,ni matumaini yangu mko salama buheri wa afya,binafsi kiafya ni mzima ila kimawazo nahisi siko vizuri na nahisi nadeserve hii hali sababu ya kua hivi...
Miaka kadhaa iliyopita zaid ya 9,nlikutana na huyu kijana ambae nilimpenda kuliko zaidi ya neno kupenda mpaka leo sijui what happened ila I thank God for what i have now,probably ningekua nae nisingekua na furaha kama nilivyo sasa,siwezi kusema we broke up maana sina hata uhakika kama we real dated,yaani since tumefahamiana na kuanzisha urafiki as boyfriend na galfriend hatujawahi kuwa close,ni distance relationship akiwa mkoa huu me nipo ule akirudishwa huku me nimepelekwa kule,kutokana na hilo anything can happen like kuanzisha mahusiano na mtu mwingine tofauti,kuna kipindi tulikua tunawasiliana sana mpaka unahisi mko pamoja,ghafla mawasiliano yakakatika was trying kuyarudisha but like he was pushing me away like kuni avoid,nikaelewa kua distance r/ship ni mara chache ina work so nkaendelea na yangu namm.
But before sijaingia katika uhusiano mwingine nlimtafuta nkamuuliza mbona kachange sana kama kapata mtu mwingine and am not of his type anambie niendelee na yangu,kiukweli hajawahi kua specific kunambia jibu lilikua bado ananipenda,hajawahi kuadmit kua na uhusiano na mtu mwingine lakini nlikua najua tu kupitia means tofauti tofaut,nami nikawa nafanya yangu,mwaka jana mwishoni nkakutana na mtu ambaye alikua anamdate katika story za pale na pale akanambia kitu ambacho kiliniuma na kiliniudhi sn kua alimwambia kua mimi ndo nliye mtongoza yeye,hapana sikueza kuvumilia nkamtafuta kwakua nlikua na hasira kwasababu ni kama alikua ananidanganya namuuliza nini tatizo hajawahi kuniambia,kama ana mtu mwingine hajawahi kukubali kitu mpaka najua mwenyewe nkapatwa na hasira nlimwambia maneno makali sana ambayo yalimkera but by that time sikuona ni tatzo sababu ya hasira.
Sasa nafsi inanisuta kwa ajili ya maneno nliyomtakia natamani kurudisha time nyuma ili ule urafiki wa karibu uliokuepo urudi,nkimwambia anisamehe anadai yuko poa ila i owe hm some explanations,me siezi kumwelezea katika simu sababu naeza kumsababishia uadui na yule gal wake nataka nimuelezee one to one ila hiyo sijui itakua lini maana yuko mbali
sina uwezo wa kumuona kwa muda usiojulikana.
I am real sorry popote ulipo,i know we never meant to be together but we cant be enemies,i hope utansamehe siku moja,kila la kheri popote ulipo I pray for ur happness as am happy here.
And this is my story kwenye upande wa mahusiano.
Hhaha Mentor tayari umeshapata tafsiri yako sidhani kama maelezo yangu yataeleweka,PLL, honestly sijaelewa sababu ya regret yako..
Halafu hapo uliposema kuwa msamaha wako mpaka muonane face to face..mh!!??
Bado sijakusoma vizuri...
Hhaha Mentor tayari umeshapata tafsiri yako sidhani kama maelezo yangu yataeleweka,
Sababu ya regret ni kuongea maneno makali bila ya kufikiria.na face to face ndo nzuri zaidi coz atasema yake hapo si katika simu
Si wewe aisee
Itabidi tu uamini Babu Aspirini.
KURUDISHA MUDA NYUMA NIKIMAANISHA NISINGEONGEA MANENO YALE,NA NLIENAE ANAJUA NA AMENIFUNDISHA KUTO KULUMBANA NA MTU WAKATI NA HASIRA.