If no dirty tricks, what is wrong with independent tallying for verification?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,279
Reaction score
129,102
Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

"Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!" PASCO
 
Pasco that's the way it is. Watu wako kimya na watulivu baada ya tamko la Lowasa lakini watabaki hivyo kwa muda gani? Let's wait and see
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.
 
Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.

Toa Ushahidi kwamba wali hack system ya NEC.

Na kwa taarifa yako hauwezi kuhack system ambayo haina Link sharing status ya Information. Savers zinazotumika kutunza matokeo ni storage only na hakuna anywhere unaweza ukaingilia coz hazina public link ya mtu kuweza Ku retrieve info Kutoka kwenye hizo saver.

Nenda kasome IT then urudi na majibu sahihi.
 
Mambo ya ajabu sana tanzania hii. Wagombea wanaingia gharama zao bila kujijua wako pale kusaidia kupata data za mshindi
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.

Unasema ku RAID Kwa Tahadhari?

Tahadhari ya nini?

Uonevu wenu una mwisho tu....
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.
Je IT wa chama kingine nao vip wanaweza ku hack system ya nec ama laa? Wizi wa safari hii umeenda shule si mchezo
 
Toa Ushahidi kwamba wali hack system ya NEC.

Na kwa taarifa yako hauwezi kuhack system ambayo haina Link sharing status ya Information. Savers zinazotumika kutunza matokeo ni storage only na hakuna anywhere unaweza ukaingilia coz hazina public link ya mtu kuweza Ku retrieve info Kutoka kwenye hizo saver.

Nenda kasome IT then urudi na majibu sahihi.

na una hack nini wakati kila kitu kimefanyika manually?
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.

Hivi wewe unajua hata unchokiongea kweli? Hivi unajua hata maana ya hacking?
 
Wanabodi,

Sheria ya uchaguzi imeruhusu vyama vyote kuweka mawakala wake kwenye kila kituo!, matokeo yakitoka kila wakala anapewa anasaini na kupewa nakala yake yenye matokeo halali ya kila kituo, kisha matokeo hayo ndio yanabandikwa vituoni!.

Sasa kuna ubaya gani kama mawakala wayayatuma matokeo hayo kwenye vyama vyao, na vyama vikafanya an independent tallying, ili kuverify matokeo yanayotolewa na NEC ndio matokeo halisi na sii matokeo ya kupikwa?!.

Sheria inatamka ni NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo, lakini sio NEC pekee ndio wenye mamlaka ya kujumlisha hizo kura!.

Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!.

If there is nothing to hide, kwa nini serikali ikawakamata wataalamu wa Chadema wanaofanya independewnt tallying?!.

Japo I smell something fishy!, naomba Lowassa asikilizwe ana hoja za msingi, na kiukweli baadhi ya wafuasi wake, ni watu waliopigika sana kimaisha, the have a very thin line between kuendelea kuishi au kuamua kufa na Lowassa, hivyo at this juncture, Lowassa must be handled with extra care, and if possible contained for the sake of national interests, if let loose na yeye akawacha wafuasi wake to get loose, kuipigania haki yao walioaminishwa imepokwa!, kiukweli Tanzania hapata kalika!.

Pasco

Matokeo yalikuwa yanatolewa polepole tangu Jumatatu mpaka Alhamisi. Sielewi kwa nini Chadema walikuwa wanashindwa kusema kuwa idadi ya kura kutoka jimbo fulani siyo sawa. Badala yake walikaa kimya kabisa. Mpaka sasa hawajasema kinagaubaga ni hesabu za majimbo gani ndiyo zenye matatizo. Ni malalamiko ya jumla tu.

Kinachosikika sasa ni kuomba hizo hesabu zifanywe "manually"bila kutumia computer. Nimesikia vilevile kuwa kuna software maalumu ya kufanya majumuisho ya kura na Chadema walileta mpaka wataalamu wao kutoka nje. Huku ni kutaka kudanganya tu wasioelewa. Kweli unahitaji software maalumu au wataalamu hadi wa kutoka nje kufanya majumuisho ya kura? Majumuisho yote yangeweza kufanywa na spreadsheet kama Excel kirahisi tu. Na nadhani nndiyo iliyokuwa inatumika, hata na gazeti la Mwananchi.

Kuhusu kupigika usisahau kuwa Watanzania wengi wamepigika, siyo wafuasi wa Chadema tu.
 
Toa Ushahidi kwamba wali hack system ya NEC.

Na kwa taarifa yako hauwezi kuhack system ambayo haina Link sharing status ya Information. Savers zinazotumika kutunza matokeo ni storage only na hakuna anywhere unaweza ukaingilia coz hazina public link ya mtu kuweza Ku retrieve info Kutoka kwenye hizo saver.

Nenda kasome IT then urudi na majibu sahihi.

Ndio maana kuna mgombea aliwaambia kipaombele ni ELIMU hawakumwelewa.
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.

Acha upuuzi,haya na wafanyakazi wa haki za binadamu Tz walikamatwa kwa kosa gani
 
Kaka/ mjomba naona mahaba yanakupofua na umeamua kufumbia macho hali halisi. Hii story ya tallying centers isiwe twisted, waliokamatwa wali hack system ya NEC, ni kosa la matumizi mabaya ya mtandao!
Simple and clear, wale wa human rights walikuwa raided pale Mbezi kama tahadhari tu.

Acha kudanganya watu kaka.... Waliokamatwa ni vijana waliokuwa wanafanya majumuisho ya kura kutoka vituoni..
 
"Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!" PASCO

Lowasa ameshafanya hivyo na akapata jumla ya kura zake.

Soma statement alioitoa jana baada ya JPM kutangazwa mshindi.
 
"Kama vyama kupitia mawakala wake, wote wanazo nakala halisi za matokeo, sasa kuna ubaya gani vyama vikajumlisha, na kuiambia NEC kuwa haya ndio matokeo halisi, sasa hayo ya NEC yanatoka wapi wakati kila chama kina nakala za matokeo halisi ya vituoni?!" PASCO

Ikumbukwe mbali na vituoni, lakini pia katika jimbo kulikuwa na mawakala waliojumlisha na kujaza fomu ya majumuisho hayo na kuweka saini. fomu hii toka kwenye jimbo ndio aliyokuwa ikutumwa tume.

Hoja ya Chadema ni kuwa wakati wa utumaji wa fomu hii kwa njia ya mtandao, kuna kituo cha hakers wa CCM wanayabalisha matokeo na kufika tume yakiwa na tarakimu tofauti.

Majibu ya mkurugenzi wa tume ni kuwataka Chadema kuonyesha waandishi nakala yao waliyobaki nayo ili kulinganisha na hiyo wanayodai takwimu zake zimebadilishwa angani.

Kwa kujua azima yao ya takwimu kubadilishwa angani imekosa nguvu, wakaja na madai mapya wanataka kura zote nchi nzima zihesabiwe upia kwa njia ya kawaida (manually)

Na natambua haya yote yanafanywa na Lowassa si kwa utashi wake, ila anaendelea kuhanikizwa na wapiga deal akina Mbowe hali kuwa Lowassa anazidi kudharirika mbele ya jamii. Mtu peke wa kuzuia udhalilikaji huu wa Lowassa ni familia na mama Lowassa msikubali hali hii iendelee kutendwa kwa kulinda na maslahi ya wapiga deal.
 
Back
Top Bottom