If I had my druthers....

Hahahaaaa wtf is that?


Wewe usiwe mbishi, umemtusi muheshimiwa kwa kujipachikia maneno yaliyoleta "ambiguity".

Neno "Derange" (derangement) hasa hutumika kwa ajili ya matatizo ya akili. Kwa mwanadamu.

Sasa unaposema mfano; Nyani ngabu derangement syndrome, maana yake ni mparaganyiko wa akili wa Nyani ngabu wenye dalili mbalimbali.

Sema hukuwa na nia ya kutusi bali umekosea kupanga maneno ili kupata maana uliyoikusudia.
 
Sometimes ni wivu tu..
 

Kiingereza kinakusumbua lakini hujui kama kinakusumbua na ndo maana unaleta ubishi kwenye jambo ambalo hulijui.

Haya hebu jifunze kidogo hapo chini.


 
Mimi nimependa hiyo para ya mwisho tu.
 
Huyo anasumbuliwa usukuma. Nothing else.
 


Hii ndiyo shida ya waswahili, kujiokotea maneno maalumu yanayotumika kwa watu maalumu na kwa shughuli maalumu na kuyanathibisha na mambo yao bila kupeleleza maana ya maneno yenyewe kama kwa upande wao yanaweza kuleta matokeo yapi. Je, hukusoma haya maneno??👇🏻

"Trump derangement syndrome" TDS--- The term has been used by Trump supporters to discredit criticism of his section ----.

That's a term used "specifically" by Trump SUPPORTERS.

In British english which we Tanzanians we used to, the sentence is a defamatory and insult to our dignitaries .

don't just pick an insulting word meant for some purpose and adhere it to something irrelevant.

The TDS is a make of Trump supporters for his critics and is not meant for any body else. You being
Magu supporter you should devise your own make to support him.
 

You are dumb as a bag of rocks.

I can use whatever words I choose to drive home my point.

If Trump Derangement Syndrome can be used to dismiss his detractors, it can also be used to dismiss Magufuli’s detractors.

There is absolutely nothing wrong with it.

The only thing wrong here is you and your limited knowledge and proficiency of the English language.

Go back to school and brush up on your grammar.
 
Siyo kwamba hakuna jema alilofanya,yapi mema mengi tu. Tatizo ni huu unyanyasaji wa watu, kutekwa na kupotea,kwanini hakemei? Ndiyo maana watu wanahisi anahusika. Na hayo ndiyo yanafanya achukiwe.
 

You blind fool, haven't you learnt about ambiguous sentences in English and Kiswahili, you blindly pick insulting words from your Americans masters to suit your support campaign of your man, shame to you.
 
Kwa hiyo wewe ungependelea Tanzania iliyojaa praise singers na cheerleaders; homogenious sapiens wasiohoji hili wala lile? sioni kwanini unatumia neno kupinga badala ya kuhoji; kisichohojiwa ni mistari ya biblia na korani tu
though hypothetically pia!
 

Kujibu swali lako: hapana.
 
Mkuu Ngabu, JPM anatukanwa na kudhalilishwa na tabaka la watu lililozoea maisha ya dezo, maisha ya mteremko.

Mtu mmoja wa Dar kila mwisho wa mwezi anao uhakika wa kuingiziwa kwenye akaunti yake ya benki mishahara ya marehemu watano na miwili ni hewa, bila ya kufanya kazi anakula bata kifisadi.

JPM ameua status quo haswa zile za Dar, mishemishe za kipuuzi zote zimepigwa chini.

Sasa waathirika hawawezi kukubali kufa pasipo japo kurusha ngumi, wanajua kifo cha mishe zao kimeshafika lakini hawawezi kufa kinyonge.
 
Vipi chato airport imekuja na mpango upi mkuu?
 

Ni kweli.

Ila hawa wengine ni wafuata mkumbo tu.

The herd mentality is real.
 
Mgonjwa hata kama atakufa kumwambia direct inahitaji moyo wa chuma hata kama ni kweli, nafikir hicho ndicho kinachomgharimu mh.
 
Ni kweli.

Ila hawa wengine ni wafuata mkumbo tu.

The herd mentality is real.
I'm sure you know the meaning of the word "insurgents".

We have got learned ones and big mouthed ones.

JPM ni mtu mwenye uthubutu mkubwa sana, hauwezi kumkatisha tamaa kwa maneno ya kebehi au kejeli za kitoto.
 
Labda bavicha waliojazana jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…