It means atulie...aweke sera nzuri..ateue watu Makini..asiingilie maamuzi ya wasaidizi wake..akae pembeni..nchi iendeshwe na sera nzuri pamoja na katiba na Sio maamuzi ya mtu mmoja. We are a state and not a one man armyHamtaki Rais afanye chochote? ....the hell does that even mean!!!!??
Basi waache na wale wanao Kosoa wakosoe kwa Wakati wao kwa Sababu na wao wanaweza kufanya hivyo kwa Mujibu wa Katiba.Ninge tegemea ungekuja hapa na Hoja ya kutetea kile wanacho kisema /kukishutumu Wananchi wengine kwa kupinga kwa Hoja.
Utakuwa umekunywa gongo poli! Nani kakudanganya hakusjinda? Wee unadhani CHADEMA na LOWASSA wangeweza kupambana na CCM na MAGUFULI? Wee stereotype affected na biashara haramu mifumo ya upigaji ambayo JPM kaisambaratisha. JPM anapendwa na ataendelea kupendwa. Wanaoonekana wanapinga ni % ndogo sana wanaoshinda kwenye mitandao ya jamiiHahaha hakukubalika chamani alipitishwa kwa nguvu, hakushinda uchaguzi akatangazwa kwa nguvu. Haya unayoyaona ni matokeo ya kulazimisha kutawala watu.
Sasa anajitahidi kutafuta legitimacy ndio hapo anapingwa kwa kila kitu. Hata akimleta Yesu bado atapingwa, ingawa wanaweza kumpokea Yesu lakini yeye huyu Magufuli watampinga tu maana watu hawamtaki kwa lolote na chochote.
kwanza angekuwa ameruhusu mawazo huru watu wakapiga siasa
hata hii miaka mitano asingemaliza
Hahaha ccm ilikuwa na wagombea 40 walitumia mfumo gani kumpata Magufuli?! Unadhani wangejieleza mbele ya wajumne na kupigiwa kura, angeshinda?! Sasa kama hakupatikana kwa haki tangu chamani unadhani watampenda au wanaojipendekeza ni wale walionufaika naye yaani wateuliwa?! Mimi sijasema CHADEMA popote, nimeongelea Magufuli, hapendwi hilo liko wazi, angeruhusu wapinzani wafanye siasa aone kama kweli anapendwa, hata yeye anafahamu analazimisha wananchi kumkubali, ajipime kwa hao wanaompenda kwa kuruhusu ushindani wa haki na uwazi, hili lingemsaidia hata yeye kufahamu wanafiki ni kina nani miongoni mwa praise team.Utakuwa umekunywa gongo poli! Nani kakudanganya hakusjinda? Wee unadhani CHADEMA na LOWASSA wangeweza kupambana na CCM na MAGUFULI? Wee stereotype affected na biashara haramu mifumo ya upigaji ambayo JPM kaisambaratisha. JPM anapendwa na ataendelea kupendwa. Wanaoonekana wanapinga ni % ndogo sana wanaoshinda kwenye mitandao ya jamii
Mkuu Nyani Ngabu hili unalosema mbona limeshatokea kipindi hiko ni Tanganyika..
Wakati watu wanapinga maendeleo ya Mkoloni Barabara, Shule, hospital, Treni.. nk
Mokoloni akaamua kutuachia bila kumwaga damu..
Kipindi hiko Kina JK walikua wanaonekana wanapinga Maendeleo, Kama hali ilivyo sasa.
Tulichagua Uhuru dhidi ya maendeleo ya Kikoloni.
Mimi Magu nitaendelea kumpinga, na wala si dhambi 😂
Kwani tatizo watu wakisema hata kama wao wenyewe hawawezi.inawakera nini? Leo kuna watu hata kupiga penati hawawezi lakini wanakomaa kupanga kikosi cha manchester kijiweni,tatizo siyo wao,haya ni maisha yao ya kila siku,tatizo ni nyinyi mliokuja juzi kujifanya kutaka kuwa yamazishaIn this Information Age, almost everybody is an ‘expert’ in ‘everything’.
So, if I had my druthers, this is what I would do:
Wale wote ambao kwao Rais Magufuli hana jema lolote lile, ningewapa fursa ya wao kuunda serikali nzima ya kuiongoza Tanzania halafu tuone kile ambacho wao wangekifanya kilicho bora zaidi na kilicho tofauti kabisa na afanyacho Rais kwa sasa.
Manake sasa naona na sisi kwenye hii Tanzania yetu tuna watu wanaosumbuliwa na Magufuli Derangement Syndrome.
Chochote afanyacho Rais, kuna watu hawatapenda tu, hata kama na wao ni wanufaika.
Chochote asemacho Rais, watu hawa wenye huu ugonjwa wa Magufuli Derangement Syndrome, watasema ni kibaya tu kwa vile kimesemwa na yeye. Lakini kitu hicho hicho kikisemwa na mwingine, watashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere.
Watu hawa natamani sana wao ndo waunde serikali ili hatimaye tuone kama kweli wanaweza kufanya kinyume na vile ufanyavyo huu utawala wa sasa.
Manake isije tu kuwa ni kelele za kupitia kwenye keyboards zisizoambatana na substance yoyote ile kwenye uhalisia.
Anyway, that’s just a hope. And a hope without a plan is nothing more than a wish.....
Kwani tatizo watu wakisema hata kama wao wenyewe hawawezi.inawakera nini? Leo kuna watu hata kupiga penati hawawezi lakini wanakomaa kupanga kikosi cha manchester kijiweni,tatizo siyo wao,haya ni maisha yao ya kila siku,tatizo ni nyinyi mliokuja juzi kujifanya kutaka kuwa yamazisha
Na hapo uliwahi kuishi US, at least ukatoa tongotongo kwenye ubongo + a mere education you pursued, bila ya hivyo wewe ungekuwa zaidi ya mjinga, hapa tu kichwani upo zero kabisa, your ID reflects the essence of your nature, what if usingekuwa umesoma wewe mtu?In this Information Age, almost everybody is an ‘expert’ in ‘everything’.
So, if I had my druthers, this is what I would do:
Wale wote ambao kwao Rais Magufuli hana jema lolote lile, ningewapa fursa ya wao kuunda serikali nzima ya kuiongoza Tanzania halafu tuone kile ambacho wao wangekifanya kilicho bora zaidi na kilicho tofauti kabisa na afanyacho Rais kwa sasa.
Manake sasa naona na sisi kwenye hii Tanzania yetu tuna watu wanaosumbuliwa na Magufuli Derangement Syndrome.
Chochote afanyacho Rais, kuna watu hawatapenda tu, hata kama na wao ni wanufaika.
Chochote asemacho Rais, watu hawa wenye huu ugonjwa wa Magufuli Derangement Syndrome, watasema ni kibaya tu kwa vile kimesemwa na yeye. Lakini kitu hicho hicho kikisemwa na mwingine, watashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere.
Watu hawa natamani sana wao ndo waunde serikali ili hatimaye tuone kama kweli wanaweza kufanya kinyume na vile ufanyavyo huu utawala wa sasa.
Manake isije tu kuwa ni kelele za kupitia kwenye keyboards zisizoambatana na substance yoyote ile kwenye uhalisia.
Anyway, that’s just a hope. And a hope without a plan is nothing more than a wish.....
Unaweza kujua hii namba si square root ya mbili bila kujua square root ya mbili ni nini.In this Information Age, almost everybody is an ‘expert’ in ‘everything’.
So, if I had my druthers, this is what I would do:
Wale wote ambao kwao Rais Magufuli hana jema lolote lile, ningewapa fursa ya wao kuunda serikali nzima ya kuiongoza Tanzania halafu tuone kile ambacho wao wangekifanya kilicho bora zaidi na kilicho tofauti kabisa na afanyacho Rais kwa sasa.
Manake sasa naona na sisi kwenye hii Tanzania yetu tuna watu wanaosumbuliwa na Magufuli Derangement Syndrome.
Chochote afanyacho Rais, kuna watu hawatapenda tu, hata kama na wao ni wanufaika.
Chochote asemacho Rais, watu hawa wenye huu ugonjwa wa Magufuli Derangement Syndrome, watasema ni kibaya tu kwa vile kimesemwa na yeye. Lakini kitu hicho hicho kikisemwa na mwingine, watashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere.
Watu hawa natamani sana wao ndo waunde serikali ili hatimaye tuone kama kweli wanaweza kufanya kinyume na vile ufanyavyo huu utawala wa sasa.
Manake isije tu kuwa ni kelele za kupitia kwenye keyboards zisizoambatana na substance yoyote ile kwenye uhalisia.
Anyway, that’s just a hope. And a hope without a plan is nothing more than a wish.....
Kila apingaye ameadhibiwa?
Vipi kuhusu wale mnaoshangilia kila kitu hata likiwa cha kijinga mradii kimefanywa na huyu Mungu wenu mnataka kila.mtu.asujudu.na kuabuduIn this Information Age, almost everybody is an ‘expert’ in ‘everything’.
So, if I had my druthers, this is what I would do:
Wale wote ambao kwao Rais Magufuli hana jema lolote lile, ningewapa fursa ya wao kuunda serikali nzima ya kuiongoza Tanzania halafu tuone kile ambacho wao wangekifanya kilicho bora zaidi na kilicho tofauti kabisa na afanyacho Rais kwa sasa.
Manake sasa naona na sisi kwenye hii Tanzania yetu tuna watu wanaosumbuliwa na Magufuli Derangement Syndrome.
Chochote afanyacho Rais, kuna watu hawatapenda tu, hata kama na wao ni wanufaika.
Chochote asemacho Rais, watu hawa wenye huu ugonjwa wa Magufuli Derangement Syndrome, watasema ni kibaya tu kwa vile kimesemwa na yeye. Lakini kitu hicho hicho kikisemwa na mwingine, watashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere.
Watu hawa natamani sana wao ndo waunde serikali ili hatimaye tuone kama kweli wanaweza kufanya kinyume na vile ufanyavyo huu utawala wa sasa.
Manake isije tu kuwa ni kelele za kupitia kwenye keyboards zisizoambatana na substance yoyote ile kwenye uhalisia.
Anyway, that’s just a hope. And a hope without a plan is nothing more than a wish.....
Na hapo uliwahi kuishi US,
at least ukatoa tongotongo kwenye ubongo + a mere education you pursued,
bila ya hivyo wewe ungekuwa zaidi ya mjinga,
hapa tu kichwani upo zero kabisa,
your ID reflects the essence of your nature, what if usingekuwa umesoma wewe mtu?
Truly ungekuwa unakula hata kinyesi chako...
Who the hell is Magufuli?
and what do you know about Democracy?
Watu wanampinga hadi Mungu wasiyemuona ije kuwa huyu Dikteta anayetesa watu?
How comes unalazimisha kila mtu ampende Magufuli?
Let Democracy take its course,
unampenda wewe na mkeo inatosha,
how would you compel others?
Hakika wewe ni nyani, tena nyani uchuro.
Unaweza kujua hii namba si square root ya mbili bila kujua square root ya mbili ni nini.
Kwa hiyo mtu kusema "hapo umekosea, hiyo si square root ta mbili" si lazima yeye ajue square root ya mbili ni nini.
Mimi nimependa Magu alivyoikata mkia bandari ya Bagamoyo ambayo ilikuwa inaletwa bila mpango.
Lakini hilo halimaanishi anavyofanya ushamba wa kuminya demokrasia nafurahia.
Usipende kulinganisha watu wote na standard yako ya maisha.Wapingaji wa Magufuli wengi wanasumbuliwa na njaa ukifatilia wengi either maslahi yao yameminywa au wanapata mkate wa kila siku kwa kumpinga JPM.
Vipi kuhusu wale mnaoshangilia kila kitu hata likiwa cha kijinga mradii kimefanywa na huyu Mungu wenu mnataka kila.mtu.asujudu.na kuabudu