If he's not getting it at home, he's surely getting it somewhere else???

Sasa huyo jamaa akienda nje na kutafuta nyumba ndogo huyo rafiki yako atakasirika?

Hivi wanaume hawawezi kuvumilia? Hebu fikiria..wewe ukiugua na kulazwa hospitali miezi sita au ukipata tatizo la kukufanya usiweze kwa muda..ina maana mke atafute nje?
Huyo mdada anasababu ya kuchoka..kwanini jamaa asivumilie hadi weekend?
 
Jirani, wengine 'Libido lao' ni kubwa sana na hushindwa hata kufocus kwenye shughuli muhimu kama hajapata hiyo kitu na kuridhika. Nilikuwa naangalia siku moja kipindi cha Oprah walikuwa wanazungumzia hii topic. Wengi wakawa wanadai mara 2 au 3 kwa wiki inatosha kabisa. Basi akasimama Mnigeria na mke wake akasema wao walikuwa wameoawana miaka 10 na kwa siku huweza kushughulika hata mara tano, macho yote yakamgeukia yeye. Oprah akamuuliza unatumia Viagra? akajibu hatumii chochote bali anampenda mkewe na wote wanaenjoy hiyo kitu. Mkewe kaulizwa ni kweli mnafanya mara zote hizo kwa siku? akajibu ndiyo.

Kwa hiyo hili lipo kabisa na hata wanawake siku hizi ambao appetite yao ni kubwa katika mambo haya kuliko waume zao nao hutoka nje ili wakakidhi kiu yao.
 
Last edited:
Hivi wanaume hawawezi kuvumilia? Hebu fikiria..wewe ukiugua na kulazwa hospitali miezi sita au ukipata tatizo la kukufanya usiweze kwa muda..ina maana mke atafute nje?
Huyo mdada anasababu ya kuchoka..kwanini jamaa asivumilie hadi weekend?
wale kule jela mbona wanavumilia bila ngono......mbona mie naweza kukaa hata mwaka na zaidi bila kufanya mapenzi.....
 
Jela kumbe wanavumilia! Kwanini uraiani wanashindwa? Lakini huko nako vitendo vya ulawiti mhhhh!
Hongera ndugu yangu kama wewe ni mmoja wa wale wenye self discipline.Wenzio hata mke akilazwa hospital wiki tu tayari wanahamia nyumba ndogo... si unawaona hapa JF wanavyoshadadia?
 
Ila msijidanganye. Wanawake nao hawawezi kuvumilia kihivyo. Matter of fact, wakijua hutakuwepo kwa muda flani na wakihakikisha kuwa itabakia kuwa siri, na wanaibia kama wanaume wanavyoibia.

Ni dhana potofu na iliyopitwa na wakati kudhania wanawake ni wavumilivu na wanaibia kwa kiwango kidogo kuliko wanaume. Nyie wanaume endeleeni kujidanganya tu.
 
Jela kumbe wanavumilia! Kwanini uraiani wanashindwa? Lakini huko nako vitendo vya ulawiti mhhhh!
Hongera ndugu yangu kama wewe ni mmoja wa wale wenye self discipline.Wenzio hata mke akilazwa hospital wiki tu tayari wanahamia nyumba ndogo... si unawaona hapa JF wanavyoshadadia?
na assume jela wanavumilia maana sio woote wanashiriki vitendo vya u gay.....hao ambao wifey kalzwa wiki tu anatoka nje ni wamerogwa wanahitaji maombezi makubwa.....tatizo ninaloliona bongo ni kuwa watu hawana issue za kufanya baada ya kazi zaidi ya kwenda bar....
 
Jela kumbe wanavumilia! Kwanini uraiani wanashindwa? Lakini huko nako vitendo vya ulawiti mhhhh!
Hongera ndugu yangu kama wewe ni mmoja wa wale wenye self discipline.Wenzio hata mke akilazwa hospital wiki tu tayari wanahamia nyumba ndogo... si unawaona hapa JF wanavyoshadadia?

Jirani, ndiyo raha ya kuwa uraiani na kufaidi matunda ya uhuru ambao jela haupo. Ukisikia kula nyama ya kuchoma ya kuku RUKHSA, ukisikia hamu ya kuchoma mguu wa mbuzi RUKHSA ha ha ha ha jela hakuna hiyo ;)
 
Hivi wanaume hawawezi kuvumilia? Hebu fikiria..wewe ukiugua na kulazwa hospitali miezi sita au ukipata tatizo la kukufanya usiweze kwa muda..ina maana mke atafute nje?
Huyo mdada anasababu ya kuchoka..kwanini jamaa asivumilie hadi weekend?

Lol, tatizo sio kuweza kuvumilia tatizo ni hiyo attitude kwani kuna ubaya gani akimweleza vizuri tu bila kumsusia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom