BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,667
- 22,273
πππππππππ
Kuna IGP aliwahi kuitwa Mahakamani kwa tuhuma za kutelekeza mtoto aliyezaa na house girl, inasemekana "he didn't show up"Kwa mahakama zetu sifahamu adhabu itakuwa ni ipi labda wajuvi waeleze.
Ila kikawaida ni faini kubwa au jela au adhabu zingine kali.
Peter Madeleka alikumbwa na hii.
You see!Kuna IGP aliwahi kuitwa Mahakamani kwa tuhuma za kutelekeza mtoto aliyezaa na house girl, inasemekana "he didn't show up"
Court imeshatoa Summons kwa hao miamba vipi wasipotokea??? Mahakama ita issue warrant of arrest? Vitu vingine vinafikirisha sana.
But it was back in the days (early 2000s). Things do change. May be this time around, those folks gonna be showing up.You see!