If CCM DonT ChanGe wiTh Time,Time wiLL Change Them | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

If CCM DonT ChanGe wiTh Time,Time wiLL Change Them

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Dec 24, 2010.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GrEatThinkers,

  Wana wa IsraeL walikuwa mateka wa Misri miaka arobaini-Kish MUNGU aliua wazaliwa wa kwanza wote na Musa kuliokoa taifa Lile. Farao alikuwa Mgumu kusoma alama za Nyakati.

  Hata hapa kwetu tuna kauli inayosema za Mwizi ni Arobaini-Wezi sugu hukamatwa ktk wizi wenye mtego mwepesi na hulainika kama wananyolewa- You can FooL all the Peopla at Once But you can not Fool all The PeoplE forever.

  Ni miaka arobaini na Tisa tokea CCM itutalawe na miaka ya Tisini imekuwa ni kama wanyonya damu kwetu- Licha ya watanzania kung'unika sasa wameamua kukataa na kuingia mitaani Januari. Ni maandamano ya kudai yetu-Tushiriki wote.

  DNdiyo maana nikasema, If they cant Change with Time is now, Let Us change Them.

  Peoplesss..............................Power
   
Loading...