Umeulizwa ipi ni rahisi dah wabongo bhana wajuaji sana.Huo ni uzembe, yani 6.5 IELTSv?
Umeulizwa ipi ni rahisi dah wabongo bhana wajuaji sana.
Nimefanya yote. IELTS ni rahisi
Sifahamu jibu, naomba kuuliza utaratibu wa kufanya hiyo TEFL, na inafanyiwa wapi?
Sorry ningependa kujuaa hizo ni document zinazo husika na niniNimefanya yote. IELTS ni rahisi
Nipigie no.0712672210. Nitakupa utaratibu wa toefl,gmat na gre ukipenda. Na usajili pia unafanyika.karibuSifahamu jibu, naomba kuuliza utaratibu wa kufanya hiyo TEFL, na inafanyiwa wapi?
Je certificate zake huwa zina expire? Mfano ukifanya Leo ukapass, utahitaji kufanya tena miaka mitano ijayo?