Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Mwanakwetu, hivyo vifupisho ulivyoviandika.......nitakutia mikweziiii oohh hoooh!!!
kama gari na matairi au samaki na maji hahaha
Uwiiii!na hiki kichwa dafu c ndio nitashindwa hata kuandika japo vifupi!nimekoma mwaya!tatizo niko via phone najisahau na kudhan naandika sms lol!
Kumbe nimekupatia eeh?! Hahahah...... Njoo basi na huku tuburudike na nyimbo za kibongo channel ten! Lol
kama gari na matairi au samaki na maji hahaha
Yaani unarudia tena kuniandikia hiyo 'c' yako? Na huu uzee wataka nitoke mboni za macho mie, na ubongo wenyewe huu wa kuscratch! Uache kabisa, unaninyima uhondo wa kusoma!!
Hahaha!hao wakata viuno!mie niko MGM kuna movie nimeibamba hapa hata jina cjaijua but imenivutia atii!
Mweeee!nimekoma nisamehe bure mpnz lol!
kama rushwa na wazee wa feva lol!
Na kweli wanayarudi si mchezo! Hiyo movie ya kizungu? Kama ni ya kizungu basi endelea tu, mie huwa hazinogi eti!!!
Dah.....mi ndo naitwa mpnz?? Yaani wewe.....ngoja tu nikusamehe bure kwakweli ila ufanye mazoezi ya kuacha!!!
like!movie njema bibie,gd9t
Ni ya kizungu mwanya ila ndio nazima zima kuna liucngiz lishaanza kuzingua hapa lol!na hv niko ndan ya net ukiona kimya ndio ivo tena lol!
Dah!asante kwa kunisame naanza mzoez now now mpenzi!
mbona sielewi?
mbona sielewi?
Pole bishanga,ni hv tunaongelea id za jf ambazo nyingi zinaibuka kulingana na matukio mf.wahanga wa mafuriko!kuna watu wameibuka na id za mabwe pande,mafuriko,wahanga,km ivo,hope umeelewa now!
Goodmorning canta,