Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Aliyekua beki kisiki wa Timu ya Taifa na Mtibwa na baadaye kwenda kucheza soka la kulipwa, inasemekana amewehuka kabisaaaaaaa na sasa yu miongoni mwa wagonjwa wa akili
Habari za uhakika kabisa toka kwa mpangaji jirani na mchezaji huyo maeno ya Tabata Dar Es Salaam zinasema kwamba mchezaji huyo amechukuliwa na nduguze akiendelea kupata matibabu ya ugonjwa wake huo
My Take; bila shaka wabashiri watakuja na sababu kedekede juu ya kuwehuka kwa mchezaji huyo
chanzo; Jirani ya mchezaji