Idriss sultan vs Harmonize clapback

Sema idrisa anapenda kufatilia sana wenzake Sijui halionagi aibu.....lenyewe lilishinda 500M lakini hatujui hata zilienda wp mbona wt wametulia tu linauzi sana
Jamaa anakera sana....alafu anavyoongea iyo sauti sijui ya wapi!
Yani wakuja wakuja tu.
 
Basi tuseme wabongo ni wagumu kukomedika...
Coz me sioni comedy anayoifanya Idris zaidi ya utoto tu..!
Ofcoz anatamani awe comedian nguli but kwa wabongo kukuelewa ni ngumu coz kama ukiwa on the stand comedian hana mipaka ya nani amuongelee sema sisi kwetu ni kitu kipya sana ndio maana tunahemukwa kihisia na kujibu kwa matusi kama alivyofanya hamonise. Juzi hapa stan bakora kwenye parody ya video ya baraka da price alijaribu kujipaka mkaa usoni ili kufanania na baraka coz ni.mweusi. but baraka povu lilimtoka sana alikujua kadhihakiwa but No! We jaribu kumfanyia mpoki hvy uone kama atatoa povu wala coz yeye anaelewa comedy ilivyo. Harmonize alitakiwa tu afurahi na yeye sio kujibu. Inshort wasanii wa bongo hawawezi kuishi USA maana comedians wa kule wanafunguka kweli. Watapigana kila siku.
 
Wanasahau idrisa n katoto kadogo sana..uref wake wanadhan n mkuubwa..jamaa n comedian anafanya for fun..hamo nan cjui akaushe 2 as long kavamia jiji la dar aendana na mautan ya dar
Sasa we ndo unaonekana umevaa jiji..wakuja utamjua tu.
Eti katoto jitu zima lile eti comediam.
Marindaless utawajua tu
 
Huyu idris asome alama za nyakati aache kufuatilia maisha ya watu. Km ni comedian ni yeye na maisha yake. Analeta comed kwenye maisha ya Magufuli pumbavu kabisa watu wako bize wanatafuta mkate
 
mbona kamjibu kwa hasira sana na kwa matusi wakati naona kama jamaa hakuongea kitu kikuuubwa, kama alikuwa anamtania kawaida tu au alikuwa anampa ushauri, lakini yeye alivyoumia moyo na kutoa majibu ameenda mbali sana. hata hivyo, watajuana wenyewe, kwanza hayo manyimbo yao mimi huwa sisikilizi na yapo kwenye kundi la manyimbo ya mashetani hivyo watajuana hukohuko.
UsUshauri mavi watu wengine uchokozi tu acha apakwe kaz kujipendekeza safi sana yeye nan alimuuliza pesa.zake.alipeleka.wap
 
Back
Top Bottom