Idriss sultan vs Harmonize clapback

Idris na comedy zake za kuungaunga sometimes huwa anaboa alianza na Mond kuhusu wimbo wake wa merry u Mond akamnyamazia.
Sasa leo kahamia kwa harmonize, kashindwa kumvumilia, tena kamkuta harmonize na stress za kawimbo kake kubuma acha tu amchane
So kumbe kuna ukweli kwa hamonaiz
 
Tujuzane watanzania wenzangu, hao ni wakina nani hapa tz, au mnaongelea watu wa nje ya nchi hii..

Nn mchango wao kwenye hii nchi ya vi-wonder??
Kama ulivyoandika "nchi ya vi-wonder", hao ni sehemu ya vi-wonder, kwa mfano bora hata yule aliyepita alikuwa na utaratibu wa kuwaita watoto waliomaliza shule na kufanya vizuri kitaifa, pale magogoni, sasa huyu mpaka anampromote huyo dimon hewani hivyo, kesho watoto wanaona kumbe hiyo ndio life, sio mchango mkubwa wa vi-wonder huo kutoka kwa dimon,
Halafu watz hawataki mambo ya akili , wanapenda umbea tu, ndio maana watafiti wanasema hata kusoma vitabu ni wazito sana,
 
Yote haya kayaleta harmorapa hlf sasa hivi katulia anaangalia wapi kuna kik kesho anaweza kwenda na waandish kwa idris kumpa Pole kwa maneno makali ya harmonize

Hahahaahahaa.. Harmo_mambio mzee wa fursa, jamaa anajua kwenda na matukio vibaya sana...
 
Alianza idris akapost akaja harmonize akajibu
View attachment 488031
Clapback season
mbona kamjibu kwa hasira sana na kwa matusi wakati naona kama jamaa hakuongea kitu kikuuubwa, kama alikuwa anamtania kawaida tu au alikuwa anampa ushauri, lakini yeye alivyoumia moyo na kutoa majibu ameenda mbali sana. hata hivyo, watajuana wenyewe, kwanza hayo manyimbo yao mimi huwa sisikilizi na yapo kwenye kundi la manyimbo ya mashetani hivyo watajuana hukohuko.
 
Back
Top Bottom