M
Kwa habari nilizozipata sasa hivyi zinasema Meneja mkuu wa Tanesco Dr. Rashid Idrisa kabadili msimamo wake na kwamba hata jiuzulu tena.
Habari zaidi zitawajia baadaye
Stay tuned!
I love JumboForums!!
SteveD.
Confirmed, TvT wametangaza dakika 10 zilizopita, huyu bwana ame-withrdraw resignation yake.
Inaelekea alikuwa anatikisa kiberiti akakuta kimejaa!
You better love it more. This ain't a Joke. its True!
Hii habari ilijulikana tangu jana, na kama nilivyosema kwenye ile post ya kujiuzulu, kati ya vitu ambavyo CCM haihitaji sasa hivi ni kujiuzulu kwa senior official hasa baada ya kupata ujiko wa Kamati na wimbi limegeuka na sasa pressure ilikuwa iwe kwa wapinzani; sasa kujiuzulu kwa Idris kungekuwa ni distraction ambayo CCM haiwezi kuimudu wakati huu kwani mambo yanawaendea vizuri..
Bongo bwana....mambo kama haya wala raisi hakutakiwa kuhusika nayo kabisa unless ni dharura ya kitaifa..
kama ulijua kwa nini usingesema ! halafu mbona unaweka siasa katika kila kitu wewe ! its boring meeeeeeeen !
hivi wapi inaonyesha rais amemshauri jamaa asijiuzulu wazee au wapi kunaonyesha rais ameweka mkono wake ? and plzzzzzzzzzz dont talk about speculations maana najua mnazo nyingi tena sana !
wapi panaposema Rais hajafanya hivyo na sisi speculation hatuhitaji kwani unazo nyingi...