PreGE2025 Idris Sultan kuja na documentary ya 'Tanzania ya Samia'

PreGE2025 Idris Sultan kuja na documentary ya 'Tanzania ya Samia'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Msanii wa Filamu na Mwanamitindo Maarufu Nchini Tanzania ametangaza ujio wa Tamasha la Rangi Zinaongea litakalo fanyika Tarehe 23/05/2025 katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ikiwa ni pamoja na kuionesha nembo ya Tanzania nje ya mipaka ya Tanzania ambapo itakuwa ni pamoja na kuonyesha Makala fupi inayo onyesha uzuri wa Nchi ya Tanzania na Vivutio vyake ambapo wameipa jina la Tanzania ya Samia.

View attachment 3333830
Zamani tulikuwa tunajua wenye ualaza ni wasomi na wana akili kumbe si kweli ,akili ni nywele.
 
Ujinga ujinga.Taifa la watu wansoishi kwa commission hili [10%].Ujanja ujanja tu
 
Back
Top Bottom