Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Mshindi wa big brother Idris Sultan amesajiliwa rasmi kuwa mtangazaji wa kituo cha Choice Fm.
Hiyo ni ajira mpya kwa kijana huwa atakuwa anatangaza kipindi cha hard drive kinachoruka saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubuhi.
Kila la kheri kijana japo hatujui ulisomea wapi utangazaji
1460649070317.jpg
 
hongera zake asije kuwa kama Mwisho mwampamba kaishiwa mpaka anagombana na nduguze muda mfupi baada ya kuondokewa na baba yake
 
Back
Top Bottom