Hili swali kama linalenga kibonzo cha chini huo siyo mzaha! Hicho kibonzo kinamaanisha Magu ni show ya mtu mmoja...[/QUOTE]Huo sio mzaha?
Sasa wewe unatafsiri kicheko cha mtu unajua lengo lake huko moyoni kwake? Hicho kibonzo ndo kichwa cha jamaa kilivyo?Hili swali kama linalenga kibonzo cha chini huo siyo mzaha! Hicho kibonzo kinamaanisha Magu ni show ya mtu mmoja. Hawasikiliza na kuwaacha watendaji wake wafanye kazi zao kiuweledi! Bali anawapelekesha! Anawataka wafanye anachotaka yeye!...
Sijajua lengo lako ni kurefusha mjadala ama vipi!Sasa wewe unatafsiri kicheko cha mtu unajua lengo lake huko moyoni kwake? Hicho kibonzo ndo kichwa cha jamaa kilivyo?
Kwa kosa lipi ewe mwanasheria nguli?Hajawahi kuiweka na nina uhakika hataiweka! Idris anapaswa kufungwa jela na kuchapwa vibokk 10 kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema ni kiongozi wa nchi??………… Ukishakuwa kiongozi kubali kuwa jalala……...
Acha hizo mkuu. Akikaa hata miaka 10 huko hakutakuongezea chochote.Hizo ni chache anatakiwa akae mwaka kule
Acha hizo mkuu. Akikaa hata miaka 10 huko hakutakuongezea chochote.
HahahaMahabusu nao walimiss kuchekeshwa, pia kufanyiwa ubunifu wa mavazi.
Luckman1
Mi sijahukumu ila tu kwa nadharia ya kawaida kiungwana tu mtu anayerudia kosa moja kwa awamu zaidi ya moja huwa tunamtambua kama nani?Pengine utakuwa umekengeuka kama nwanadamu usitafute kuwaadhibu wale wanaokukosea Mungu pekee mkamilifu hata ww huwa unamlaumu na kumkosea bado kakusimamia unavuta pumz yake vipi kama angekuwa anatoa adhabu kwa kila afanyalo mwanadamu?
Angalia na muktadha mkuu, i would never even think of deploying a joke based on my Dads actions...ntaanzaje kwa raisi wa nchi? Thats seeking cheap popularity! Na sio kwamba hakujua kwamba kile kitendo kingekuwa ishu kwa Mkulungwa, but he still acted as a clown apate emoji za kucheka kwa page yake! I guess the custody is a safe place he should be aendelee kuijoy emoji behind bars!😁😁😁Wachekeshaji kina Ticha Mparire na kina Otoyo wa Churchill ingekuwa ni hapa kwetu wangepigwa risasi kabisa !!. Hapa kutabasamu na picha ni kukosa nidhamu ?! Du Tanganyika umepoteza njia [emoji40][emoji87]
Odhis *
Ni kweli na ningesikitika iwapo ingekuwa imemkuta Masoud Kipanya but sio kwa huyo dogo anaejiona mjanja kwa kufanya upuuzi mtandaoni na kujiona ati ni msanii wa Comedy.Hii habari inaharibu uhuru wa watu wote Tanzania.
Imajenga precedent mbaya hata kwa Kipanya kuchora cartoon.
Inakuwekea hata wewe mazingira mabaya uweze kukamatwa kwa makosa ya kuungaunga ya kijinga.
Inaweka mazingira ya woga nchi nzima.
Si habari ya kufurahia kwa mtu yeyote mwenye werevu.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Ni mwanadamu ila sio kila unaemtania atakukenulia meno, we grew experiencing that.JPM ni mwanadamu kama wewe kwa nini umwogope mwanadamu mwenzio kiasi hicho? Mungu wa Tanzania? Mbaya sana aisee
Huna haja ya ku employ sheria hata. Alichokifanya ni dhihaka na iko wazi! Huwezi kuidhihaki taasisi ya raisi ili upate ujiko mtandaoni! Hata mizania ya kinidhamu tu Mkulu is on his 60's na dogo yuko on his 20's kuna utani gani hapo?Jikite kwenye sheria na katiba ambayo watu wameapa kuilinda kama hukumu hutolewa na mtu mmoja mahakama za nini?
Huoni kama tunapoteza kodi kuwa na majaji na mahakimu wanaopokea mshahara wa bure kwa kazi ambayo ingefanywa na mtu mmoja?
Uko sahihi kabisa, na inapaswa watu wanaokuzunguka walielewe hilo ili atakaeleta ushoga akila nakoz akae kwa pattern!Mimi mwenyewe tu huwa sipendi utani, nikikutana na mtu analeta utaniutani nachapa ngumj
Sent using Jamii Forums mobile app