Unamwingiza chaka mwenzako.UTorrent ni Website ambayo imecontain information mbalimbali, na inakupa option ya kuweza kuzidownload wewe mteja kwa kulipia, au ukiwa mjanja unaweza kuzipata kwa njia ya wizi
Unamwingiza chaka mwenzako.
Utorrent ni Peer 2 Peer (P2P) application inayokuwezesha kushare na kudownload files kutoka kwa wenzako wenye hizo file.
unalolisema lina ukweli?
Labda kama huelewi maana ya P2P.
unalolisema lina ukweli?
nenda apn kwenye internet setting kisha kwenye name weka jina lako kwenye apn address weka www.jamiiforums.com then save halafu ifanye default halafu ingia kwenye web browser done..Wadau mimi nipo nje ya mada nahtaji msaada kidogo, nimenunua samsung S7262,Nahtaj maelekezo ya kuweka
setting za internet natumia tigo. Kwa wanaoitumia au waliowah kutumia ina 3G kweli? mda wote naona E tu?
Wadau mimi nipo nje ya mada nahtaji msaada kidogo, nimenunua samsung S7262,Nahtaj maelekezo ya kuweka
setting za internet natumia tigo. Kwa wanaoitumia au waliowah kutumia ina 3G kweli? mda wote naona E tu?
nenda apn kwenye internet setting kisha kwenye name weka jina lako kwenye apn address weka www.jamiiforums.com then save halafu ifanye default halafu ingia kwenye web browser done..
kuchangia kitu usichokifahamu sio kitu kizuri na ni tabia mbaya zaidi kuliko zote za mwanadamu ambayo wengi wetu humu tunayo....
turudi kwenye mada,
UTorrent-hii ukisha install kwenye computer yako unaitumia ukiihitaji....mfano unatafuta kitu(song, video au .exe files), kwa kutumia web search engines(google,bing,opera n.k) na ukakipata basi unakifungua hadi unapata source yake kisha una-copy URL kisha unaifungua utorrent na una-pest, kisha una download kitu chako.
Inaoneka wengi hamuelewi hii kitu, ngoja niwasaidie,mkuu au hapa unazungumzia utorrent kile ki software ambacho kazi yake ni sawa sawa na idm?
basi fuata mmaelekezo haya;
fungua setting
nenda wireless and network
kisha mobile network
utaona use only 2G network, hapo ndipo penyewe....ukitiki unatumia 2G ambayo inalekuletea E(edge) sasa wewe disable hiyo na utakuwa unatumia 3G au H(hispa).