Idhaa za kimataifa za kiswahili

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Wana JF za kazi? Naomba msaada wenu kuna Idhaa ngapi za kimataifa za Kiswahili duniani. Naomba mnisaidie kuzitaja na nchi zilipo. nafanya utafiti. Na kwa walioko katika Funga nawatakia Saum Maqbull
 
Wana JF za kazi? Naomba msaada wenu kuna Idhaa ngapi za kimataifa za Kiswahili duniani. Naomba mnisaidie kuzitaja na nchi zilipo. nafanya utafiti. Na kwa walioko katika Funga nawatakia Saum Maqbull

ungetaja unazozijua ili tujazie usizozijua
 
idhaa ya marekano, china, ufaransa, el jaazira, ujerumani, afrika kusini, japan, rusia na bbc
Saudia nao walikuwa wakitangaza Kiswahili. Sijui kama waliacha. Al jazeera hawajaanza. Misri nayo sijui kama bado wanaendelea kutangaza Kiswahili.
 
Kwa hiyo ni
Uingereza -BBC
Ujerumani- Marekani VOA
Iran-IRIB (Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran)
China-CIR (Redio China Kimataifa)
Japan
Ufaransa
Afrika Kusini
Saudia
Umoja wa Mataifa
Hakuna nyingine?
Ya Vatican vipi bado iko hai?
Misri, Russia, Pakistan bado nazo zina idhaa za Kiswahili?
Vipi Oman mpaka leo hawana Idhaa ya Kiswahili?
 
Ujerumani - DW (Deutsche Welle) kama sijakosea lakini.

Back
Top Bottom