Idhaa ya Kiswahili ya CNN

Ni ukweli?
 
Uko sahihi !! Hizi private media zinaangalia faida zaidi itakuwa ngumu kuanzisha idhaa ya kiswahili.
 
wee mzee, kwa hiyo dw swahili, bbc swahili, voa swahili, radio france swahili na cgtn swahili, hawa wapo kwa ajiri ya kutangaza mazuri ya tanzania?.
 
wee mzee, kwa hiyo dw swahili, bbc swahili, voa swahili, radio france swahili na cgtn swahili, hawa wapo kwa ajiri ya kutangaza mazuri ya tanzania?.
Wapi nimesema hivyo?
 
kuna empty sets inajifanya akili kubwa..wake up people!!
 
King Leopold wa ubelgiji aliua wakongo milioni 10 wakati wa utawala wake, Leopold peke yake, acha wengine. Haya futa hiyo kauli yako, uwe na aibu!
Congo kipindi hicho ilikuwa na watu wangapi kama waliuawa milioni 10? Kuna mass graves zozote zilizonduliwa ku support hili?
Najua waliuwa watu na kuwakata viungo wengine ila hii figure duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhhh..!!!
 
"Tukomae kwanza TBC isikike Afrika nzima, na tufungue studio za TBC Asia, Ulaya na Amerika" ilisikika spika ya redio mpya niliyoinunua kipindi najaribu kutafuta vituo vya redio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…