IDF imesema Hamas wameua wanajeshi 4 jana, siku zote huwa hawasemi ukweli wamekufa wengi

IDF imesema Hamas wameua wanajeshi 4 jana, siku zote huwa hawasemi ukweli wamekufa wengi

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,015
Reaction score
43,157
Wanaukumbi.

Wanajeshi wanne wa Israel wameuawa katika shambulio la Hamas pembezoni mwa Jiji la Gaza mapema Jumatatu Septemba 8, 2025 jeshi limethibitisha baadaye siku hiyo.

Tangazo hilo limetolewa wakati Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu akiwatolea rai wakazi wa Jiji la Gaza “kuondoka mara moja,” huku Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) likiendelea na mashambulizi makubwa ya anga kuelekea operesheni ya ardhini inayolenga kuliteka jiji hilo kuu.

1757408847272.png

================

Gaza Strip on September 8, 2025. (Israel Defense Forces)
Four soldiers were killed in a Hamas attack on the outskirts of Gaza City early Monday morning, the military announced later in the day

The announcement came as Prime Minister Benjamin Netanyahu issued a warning to the residents of Gaza City to “get out,” and as the IDF continued its campaign of heavy bombardment ahead of an imminent ground offensive to capture the major city.

The four slain troops were named as:
  • Lt. Matan Abramovitz, 21, from Ganei Tikva.
  • Staff Sgt. Uri Lamed, 20, from Tel Mond
  • Sgt. Amit Arye Regev, 19, from Modiin
  • Sgt. Gadi Cotal, 20, from Kibbutz Afikim
They all served with the 401st Armored Brigade’s 52nd Battalion.
Additionally, a soldier of the Nahal Brigade’s 50th Battalion was moderately wounded in the incident, the army said

Source: Times of Israel
 
Wapalestina endeleeni kukataa kuonewa
Nalog off Z
 
Huu mzito kwako wewe nenda jukwa la dini.
Ungekuwa mzito usingeleta kwenye social media
Ungepeleka kwenye social media ambazo wametumia lugha ya kiarabu kufanya coding kutengeneza website😀😀😀😀
 
Wapalestina endeleeni kukataa kuonewa
Nalog off Z
Wanajeshi 4 ila kitachotokea wapalestina 60 wataenda kutolewa kafara
Kuishi mashariki ya kati unatakiwa uwe na moyo wa zaidi ya waislamu. Sudan anatakiwa aige mfano kwa Israel, sasa hivi waarabu wa Rapid Support Force wanaua ovyo ovyo tu
Waislamu siyo watu wazuri, si unaona Zanzibar, ukila kipindi cha ramadhan wanakupiga. Utafute pesa halafu kuna wajinga wanakuambia usile kwasababu ni mwezi wao ila ukiwa hauna chakula hakuna mtu au watu watakaokuletea chakula.
 
Wala nguruwe msikitini kwa kificho mna tabu sana
 
🇮🇱🇵🇸ISRAEL YAWATAJA ASKARI 4 WALIOUAWA KATIKA SHAMBULI LA HAMAS KARIBU NA GAZA CITY.

Wanajeshi 4 wa IDF waliuawa jana baada ya watu wenye silaha wa Hamas kushambulia kituo cha jeshi karibu na kitongoji cha Sheikh Radwan katika Gaza City.

Askari waliouawa - Lt. Matan Abramovitz (21), Staff Sgt. Uri Lamed (20), Sgt. Amit Arye Regev (19), na Sgt. Gadi Cotal (20) - walikuwa sehemu ya Kikosi cha 52 cha Brigade ya 401.

Kulingana na IDF, washambuliaji walimfyatulia risasi kamanda wa tanki na kisha kurusha kilipuzi kwenye tanki, na kuwaua wafanyakazi.

Chanzo: Times of Israel


View: https://x.com/marionawfal/status/1965311711537418442?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ninachojiuliza mbona vyeo vya hao askari ni vikubwa kuliko umri wao ukilinganisha na huku kwetu matakoni?
Yaani askari ana 20 yrs tayari ni staff sgt! Huku kwetu askari wa cheo hicho unamkuta ana 48 au 50 kabisa.
 
Unaishi giza la wapi? Israel, hata siku moja haiwezi kugicha vifo. Kutoa taarifa ya uwongo kuna adhabu kali sana Israrl.

Ungekuwa na akili japo kidogo, ungejiuliza, hiyo kusema kuna askari wake wanne wameuawa umewalazimisha wewe waseme?

Wao siyo kama magaidi wa Hamas, ukitaka kujua idadi ya askari wote waliouawa tangu vita ianze, itaipata idadi mpaka majina yao. Hiyo ni tofauti kabisa na Hamas ambao wakafi wote wanaripoti kuwa waliouawa ni raia wa kawaida, wengi wakiwa wanawake na watoto. Tafuta taarifa rasmi ya wapiganaji wa Hamas waliouawa, kama utaipata. Lakini idadi ya askari wa Israel waliouawa, unaipata, ipo public.

The Israel Defense Forces has published the names of 904 soldiers, officers and reservists — several dozen of whom are local security officers — killed during the ongoing war since October 7, including 329 of them on the border with the Gaza Strip during Hamas’s terror onslaught, and at least 460 during a ground offensive in the Hamas-run territory and amid operations on the border.
 
Juzi Kuna wanamgambo 30 wa Israel walikutwa wamelawitiwa na kumwagiwa mbegu nyingi sana huko Raffah Haikuweza kubainika mara Moja kuwa mbegu niza Makomandoo wa Hamas au Hizbollah
 
Back
Top Bottom