N97 no Nokia takataka NA ideos pia ina issues ndio zote nshatumia hadi The best Nokia N8 azinaraha...na hiyo ideos nimatatizo matupu nakupa ukweli hapa ninayo nimeupgrade to 2.3.7 na 4 beta and alpha ..not all apps will work zile nzuri zinakua unavailable sema unaeza uzidownload na kuinstall through sdcard , battery life 5hrs with 3g on au ukiwampenda YouTube hata mawili , camera mbaya, kama ukotayari kuface matatizo chagua ideos au nakushauri HTC au Samsung
Acha kuishushia heshima NOKIA, uwezi kuilinganisha na huo Uchafu.
Vp mkuu kuhusu Nokia E61i na Samsung S5830i ipi ni nzuri zaidi ya nyingine maana kuna mtu anasema tubadilishane maana hawezi kutumia screen touch mimi nimpe Nokia E61i.
Kama hauitaji Camera for daily use, na slide down keyboard ...Chukua Ideos maana icho kisumu ukikiroot na ukinstall custom rom raha tupu Android hata siku moja na apps zote za maana auwezi boreka unlike symbian ya N97 siku ya kwanza ya pili ushaichokathankx xanb bro .nmekuelewa xana,lkn plz ip kat ya hyo nokia na ideoz niafadhal kwa xabab uwezo wa kupata hzo htc na samsung me xna
Kama hauitaji Camera for daily use, na slide down keyboard ...Chukua Ideos maana icho kisumu ukikiroot na ukinstall custom rom raha tupu Android hata siku moja na apps zote za maana auwezi boreka unlike symbian ya N97 siku ya kwanza ya pili ushaichoka
plz nixaidie maelezo zaid kuhusiana na hyo custom rom na v2 vngne maana k ukwel ndo mara ya yangu yakwanza ku2mia android moble !
why mnapenda kuiponda nokia? Release ya nokia lumia 900 fastest phone ever imethibitisha nokia ni kings wa hardware 1.4ghz imeipita hadi ile ya iphone 4s
Hebu someni hapo chini wanasemaje wataalamu kuhusu uzinduzi wa symbian mpya symbian belle Nokia Belle brings Symbian closer to iOS, Android | Mobile IT | ZDNet UK
Hio apo chini ni screenshot ya nokia 808 pure view 41 mega pixel camera yake
Lumia 900 best ces of 2012 cheki linkkwenye hiyo pure view sipondi kweli wako innovative hadi award wakashinda..
lakini kusema Nokia lumina ni the fastest phone hapana wakati galaxy sII na Motorola atrix zinaipita na zina dual core processor ..na the upcoming LG optimistic 4x inakuja na Quad core Nokia Bado sana mpaka WA fikie other companies competition yako BLACKBERRY labda
Lumia 900 best ces of 2012 cheki link
Best of CES 2012
Hio samsung galaxy sii imebwagwa vibaya sana na lumia 900 kama hujui visit hapa
Smartphone Madness 2012 Game 13: Nokia Lumia 900 vs. Samsung Galaxy S II. Voting Ends 3/29/12 at 9 a.m. EST
Lumia ina 1.4ghz wakati s2 ina 1.2
Lumia ina 4g
Lumia ina html5 s2 haina
Comparison zao kwa esato
Compare Samsung Galaxy S Advance and Nokia Lumia 900 mobile phones

Yani hata iki kisimu cha kampuni ambaye hata aiko popular inatupilia mbali lumia yako
Pantech Burst - Full phone specifications
why mnapenda kuiponda nokia? Release ya nokia lumia 900 fastest phone ever imethibitisha nokia ni kings wa hardware 1.4ghz imeipita hadi ile ya iphone 4s
Hebu someni hapo chini wanasemaje wataalamu kuhusu uzinduzi wa symbian mpya symbian belle Nokia Belle brings Symbian closer to iOS, Android | Mobile IT | ZDNet UK
Hio apo chini ni screenshot ya nokia 808 pure view 41 mega pixel camera yake
Lumia 900 best ces of 2012 cheki link
Best of CES 2012
Hio samsung galaxy sii imebwagwa vibaya sana na lumia 900 kama hujui visit hapa
Smartphone Madness 2012 Game 13: Nokia Lumia 900 vs. Samsung Galaxy S II. Voting Ends 3/29/12 at 9 a.m. EST
Lumia ina 1.4ghz wakati s2 ina 1.2
Lumia ina 4g
Lumia ina html5 s2 haina
Comparison zao kwa esato
Compare Samsung Galaxy S Advance and Nokia Lumia 900 mobile phones
Inapita kivipi? Kwa a-gps wakati nokia ni s? Kwa camera ya 5megapixel wakati nokia ni 8? Sjakuelewa
Kaka hao smartphone madness wanaheshimika hata lumia 600 na lumia 800 zilivotoka zilishindwa na samsung galaxy s II ila lumia 900 ndo hot now umeona poll result ya wataalamu zaidi ya elf 10 lumia kascore 73% na galaxy sII ina 27% kubali tu mi na wewe hatuna ujuz kama wao
1.5GHz Dual Core hapo safi sana'''Yani hata iki kisimu cha kampuni ambaye hata aiko popular inatupilia mbali lumia yako