Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
exactly mkuuSio mahausigeli tu hata wadeni tutakua tunawatafta
unataka kuwa bounty hunter?
Asante mkuu, asahv nipo kwenye mchakato wa kukusanya mawazo kwakuwa naona challenge kubwa iliyo mbele yangu ni jinsi ya kupata mawasiliano yake huyo mtu kutokana na ukiritimba wa TCRA pamoja na polisiNi wazo zuri sana,inabidi uwe mtaalam wa IT, Uingie ubia na makampuni ya simu,polisi kuwe ni kwako kwaajili ya kupata RB.......
Asante mkuu, asahv nipo kwenye mchakato wa kukusanya mawazo kwakuwa naona challenge kubwa iliyo mbele yangu ni jinsi ya kupata mawasiliano yake huyo mtu kutokana na ukiritimba wa TCRA pamoja na polisi
wazo nzuri ila sidhani kama ni vilaza hivo,mtu atoroke halafu asibadili namba ya simu?
Pesa nyingi sh ngapi mkuu?Ongea na wanausalama uone kama kuna uwezekano wa kufungua kampuni Binafsi ya Upelelezi, vinginevyo utakumbana na vikwazo vingi kisheria, ukikutana na wahalifu wenye nguvu/akili watakufunga wewe mwenyewe. Nilishawahi kuwaza kitu kama hicho, na hata sasa nina wazo zuri sana tofauti na hilo tatizo linahitaji pesa nyingi na nahofia nikiliwasilisha sehemu kwa ajili ya funding litaibiwa tu.
hata ubadili laini utapatikana tu mkuuKibongobongo utapambana na changamoto nyingi sana mana mtu kubadili simu au laini ni jambo jepesi sana.....
Ongea na wanausalama uone kama kuna uwezekano wa kufungua kampuni Binafsi ya Upelelezi, vinginevyo utakumbana na vikwazo vingi kisheria, ukikutana na wahalifu wenye nguvu/akili watakufunga wewe mwenyewe. Nilishawahi kuwaza kitu kama hicho, na hata sasa nina wazo zuri sana tofauti na hilo tatizo linahitaji pesa nyingi na nahofia nikiliwasilisha sehemu kwa ajili ya funding litaibiwa tu.