Idd Simba ametuweza

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Wakati Idd Simba akiwa Waziri wa viwanda na biashara, kuna kampuni ilituma maombi ya kufungua kiwanda cha pedi.
Katika hali ya ajabu, faili husika lilitoweka katika mazingira ya ajabu. Hata hivyo mke wa Idd Simba alifungua kiwanda cha pedi miaka kadhaa baadae.
Hilo si tatizo ila tatizo halisi ni pale Simba alipojidhamini kwa bil 8 dhamana yake ikiwa ni kiwanda hichohicho. Kwa maneno mengine mahakama imekubali dhamana isiyokuwepo kwani kiwanda husika hakijasajiliwa kiserikali.
 
Niliisha sema ninarudia tena watu wafuatao kujipenyeza na kuingia katika systerm ni janga la taifa ambalo litatukumba hivi karibuni:-( 1). Aden Rage (2) Idd Simba ( 3) Rostam Aziz ( 4) Mohamed DEWJI (5) Murji (6) Abood n.k watu hawa wamengia kwenye syterm kupitia CCM licha ya wengine kati ya hao wanarecord chafu sana sana huko nyuma hawastahili kabisa kukabidhiwa dhamana ya uongozi. Watu hawa zama za mwenye CCM yuko hai Mzee Nyerere majina yao yalikuwa yanakatwa kila mala wakiomba uongozi kupitia ticketi ya chama hicho.
 
Alifanya mambo yake fasta fasta kabla wajinga hawajawa werevu
 
Blay wasinuka? Nhaule msina Mkristo hamba mkonongo wose wa kaya ndodo? Nakatala!
Ayu Simba mwenecho si ali na Pride, leche wabate yiyo
 
Niliisha sema ninarudia tena watu wafuatao kujipenyeza na kuingia katika systerm ni janga la taifa ambalo litatukumba hivi karibuni:-( 1). Aden Rage (2) Idd Simba ( 3) Rostam Aziz ( 4) Mohamed DEWJI (5) Murji (6) Abood n.k watu hawa wamengia kwenye syterm kupitia CCM licha ya wengine kati ya hao wanarecord chafu sana sana huko nyuma hawastahili kabisa kukabidhiwa dhamana ya uongozi. Watu hawa zama za mwenye CCM yuko hai Mzee Nyerere majina yao yalikuwa yanakatwa kila mala wakiomba uongozi kupitia ticketi ya chama hicho.

Ha ha ha ha ha! Mkuu una hila wewe! Waja wa Mnyaaaazi Mungu hao. Wallahi, fitna zako hazitafanikiwa.
 
Simba ni tajiri longtime, tuuweke ufisadi wake kwenye darubini. mengine yatakuwa ni majungu. Hata mwalim amekufa akijua utajiri wa huyu mzawa.
 
Niliisha sema ninarudia tena watu wafuatao kujipenyeza na kuingia katika systerm ni janga la taifa ambalo litatukumba hivi karibuni:-( 1). Aden Rage (2) Idd Simba ( 3) Rostam Aziz ( 4) Mohamed DEWJI (5) Murji (6) Abood n.k watu hawa wamengia kwenye syterm kupitia CCM licha ya wengine kati ya hao wanarecord chafu sana sana huko nyuma hawastahili kabisa kukabidhiwa dhamana ya uongozi. Watu hawa zama za mwenye CCM yuko hai Mzee Nyerere majina yao yalikuwa yanakatwa kila mala wakiomba uongozi kupitia ticketi ya chama hicho.

Safi mkuu and the list goes on, Yusufu Manji yeye anawatuma tu, ni mfadhili!!! Waliopo ambao ndo marafiki za hao uliowataji ni pamoja na EL, kunguru wenye rangi moja fly together!!!! white flocks never fly with black flocks!!
 
Simba ni tajiri longtime, tuuweke ufisadi wake kwenye darubini. mengine yatakuwa ni majungu. Hata mwalim amekufa akijua utajiri wa huyu mzawa.

Si utajiri halali ni wa kishenzi tu. Hivi unafahamu kuwa Pride Tanzania ilianzishwa kwa grant ya kifadhili ili isaidie microfinance halafu mwishowe akafanya alivyofanya na sasa anaimiliki na ndugu zako maskini wanakwamuliwa pale kila tone la damu yao? Hivi unajua kile kiwanda cha pedi cha mkewe cha Kays kama kilikuwa ni almost hakilipi kodi? Hivi bado kipi hiki? Acha kabisa huyu ni Rundi lina damu ya Kirundi na halina uchungu na Tanzania. Hivi lile sakatia lake la uraia lilishia wapi au alishanunu news Editors!!! Tafadhali hebu tulifnumue. Jerry Muro uko wapi siku hizi? Ingia media private maana tume kumiso sana. Tumfukur huyu Iddi Simba ila tusikubali hongo maana nasikia hela yake chafu na ndefu!!!
 
Niliisha sema ninarudia tena watu wafuatao kujipenyeza na kuingia katika systerm ni janga la taifa ambalo litatukumba hivi karibuni:-( 1). Aden Rage (2) Idd Simba ( 3) Rostam Aziz ( 4) Mohamed DEWJI (5) Murji (6) Abood n.k watu hawa wamengia kwenye syterm kupitia CCM licha ya wengine kati ya hao wanarecord chafu sana sana huko nyuma hawastahili kabisa kukabidhiwa dhamana ya uongozi. Watu hawa zama za mwenye CCM yuko hai Mzee Nyerere majina yao yalikuwa yanakatwa kila mala wakiomba uongozi kupitia ticketi ya chama hicho.

Umesahau subash patel na yule somaia
 
Iddi Simba si ali sema na aliwatukana wadosi? Sasa je yeye (Mzawa) amefanya nini? Manfiki wa first order...hana haya mpumbavu....sas wahindi wanatucheka...na wanasema ikoje huyu mwanaharakati wa wazawa amiba pesa yenu na kwa style....LOL
 
Si utajiri halali ni wa kishenzi tu. Hivi unafahamu kuwa Pride Tanzania ilianzishwa kwa grant ya kifadhili ili isaidie microfinance halafu mwishowe akafanya alivyofanya na sasa anaimiliki na ndugu zako maskini wanakwamuliwa pale kila tone la damu yao? Hivi unajua kile kiwanda cha pedi cha mkewe cha Kays kama kilikuwa ni almost hakilipi kodi? Hivi bado kipi hiki? Acha kabisa huyu ni Rundi lina damu ya Kirundi na halina uchungu na Tanzania. Hivi lile sakatia lake la uraia lilishia wapi au alishanunu news Editors!!! Tafadhali hebu tulifnumue. Jerry Muro uko wapi siku hizi? Ingia media private maana tume kumiso sana. Tumfukur huyu Iddi Simba ila tusikubali hongo maana nasikia hela yake chafu na ndefu!!!
Teh teh teh. Nimefurahishwa sn na comment hii. Big up.
 
Back
Top Bottom