Idd Simba ahusishwa na utapeli kupitia Pride Tanzania

duanzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
16,428
Reaction score
225
Wakuu.
Yule kada maarufu wa ccm mheshimiwa Idd Simba amehusishwa na utapeli wa mamilioni kwa wakulima kupitia shirika lake la Pride Tanzania mikopo vijijini.. Shirika hilo lililotapeli wakulima wa sehemu mbalimbali nchini kwa ahadi ya kuwakopesha wakulima toka mwaka jana huku likiwa limeshakusanya akiba za wakulima hao na mpaka sasa hivi.limeshindwa kufanya hivyo huku wakulima hao wakidai akiba zao bila mafanikio..Aidha, wakulima kutoka morogoro wamelalamika kutapeliwa akiba zao kwa ahadi hewa ya kupewa mkopo na hivyo kuwarudisha nyuma kimaendeleo.
 
Idd simba ni kiongoz safi na mwadilifu, mleta mada wewe ni muongo mkubwa
 
Kwani pride ni ya idd simba? Mbona nasikia Mengi kainunua?
 
Idd simba ni kiongoz safi na mwadilifu, mleta mada wewe ni muongo mkubwa

Taratibu dada!
Yaani kila topic ikitoka wewe wa kwanza kujibu, unafanya kazi kweli wewe?
Mwajiri wako yupo na anakulipa! Kweli hapa maendeleo yatakujaje kwa madada wazuri kama wewe kushinda mitandaoni bala kuzalisha? Au utakuta hii ndo ajira yako hapa upo kazini! Lumumba ni shiiiiiiiiida!!!
 
Buku 7 masihara ..!
Njaa kali mjini hapa.
 
Taratibu dada!
Yaani kila topic ikitoka wewe wa kwanza kujibu, unafanya kazi kweli wewe?
Mwajiri wako yupo na anakulipa! Kweli hapa maendeleo yatakujaje kwa madada wazuri kama wewe kushinda mitandaoni bala kuzalisha? Au utakuta hii ndo ajira yako hapa upo kazini! Lumumba ni shiiiiiiiiida!!!

We ukome mimi.ni mwanaume wa shoka..we unafanya kazi saa ngapi? Au unasubiri chadema ikupatie ajira..unashinda ufipa kila siku kumpiga mizinga mbowe na slaa.. Taahira we
 
Tukukumbushe kesi ya UDA. alikua na kesi ya kujibu akaokolewa na DPP. you have a very short memory

Kesi ya UDA alishinda ndio maana yuko nje... Acha kujitoa akili mkuu au umelewa viroba
 
idd simba tapeli na mwizi na fisadi wa kitaifa naona nchi..hii anaifanya anavyotaka kwa sababu makali wameshika wao ...ila ipo siku tu
 
mpini ndo wameshika wao alafu kwenye makali ndo kunakata wanyonge!
 
Wakuu.
Yule kada maarufu wa ccm mheshimiwa Idd Simba amehusishwa na utapeli wa mamilioni kwa wakulima kupitia shirika lake la Pride Tanzania mikopo vijijini.. Shirika hilo lililotapeli wakulima wa sehemu mbalimbali nchini kwa ahadi ya kuwakopesha wakulima toka mwaka jana huku likiwa limeshakusanya akiba za wakulima hao na mpaka sasa hivi.limeshindwa kufanya hivyo huku wakulima hao wakidai akiba zao bila mafanikio..Aidha, wakulima kutoka morogoro wamelalamika kutapeliwa akiba zao kwa ahadi hewa ya kupewa mkopo na hivyo kuwarudisha nyuma kimaendeleo.

Mkuu kweli yan wale pride ni wezi wa kutupaa kabisaa yan
 
We ukome mimi.ni mwanaume wa shoka..we unafanya kazi saa ngapi? Au unasubiri chadema ikupatie ajira..unashinda ufipa kila siku kumpiga mizinga mbowe na slaa.. Taahira we

Mimba changa ni shiiiiiiida!!
Niite tu taahira ila kumbuka naweza kuwa mmeo we "mdada poa"
 
Back
Top Bottom