Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...!

Hivi kuweka picha za hao akina dada wa CCM/Chadema wakiwa na viongozi wa vyama vya upinzani kwao ni nini?

mbowe+vs+kikwete.jpg


kikwete+lipumba+seif+3.JPG

Mungu atusamehe, viongozi wetu waafrika, tunaowategemea wanatuvalia kama Maimam? hamna kitu hapa.
 
Sabodo alisaidia chadema wazi kabisa kifedha, hamna aliyelalamika, Shyrose kasaidia kama alivyosaidia hatujui kimwili, kiroho au kimapenzi, inakuwa tabu, kwanini wasimshambulie Sabodo aliyeita waandishi kabisa na kutoa msaada?

Sabodo alihama CCM kwenda CHADEMA na msaada alioutoa alitamka hadharani. Shyrose ni CCM hajahama na msaada wake kwa CHADEMA ameufanya kwa siri. Je Shy yuko kundi gani?
 
Kumbe mapenzi nayo ni support! Mfa maji Bwana!

Chadema mara inapewa support kutoka nchni za nje, mara ina pewa support na waandishi wa habari wa nje, mara tena ShyRose! kura za watanzania majority na support yao haiongelewi kabisa!


"katika uchaguzi mkuu uliopita shyrose alitoa sapoti kubwa sana kwa chama cha CHADEMA ila hakupewa adhabu". Sidhani kama inahusiana na mapenzi bali alisapoti CHADEMA wakati wa uchaguzi ili washinde.
 
ningekuwa iddi azzan nisingeanzisha vita ya media na shyrose bhanji, bhanji ni mtu wa pr na anaiweza shughuli yake, yupo tayari hata kukata viuno juu ya stage ilimradi aonekane kwenye luninga, jee, iddi utayaweza hayo?

acheni siasa za kizamani nyie, ina maana mtu akiwa ccm ndio basi amuunge mkono mwanaccm yeyote hata kama binafsi
anaona hafai. Ccm does not have a right to my vote they have to earn it.
 
"Msafiri kafiriiiiiiii,
mwenda pole ninakujaaaaaaa
nawapisha wenye harakaaaa
na waendao kwa harakaaaaaaaaa."
 
Kwa Ukweli wote hawatufai kwenye siasa za Tanzania... they R Opputunists...
 
chadema inapata misaada mingi toka kwa wana ccm kwani nao wamechoka na ccm ila wanahofia kuharibiwa na ccm
 
Ni kawaida kulumbana kwa watu wenye magamba sisi tunasubili mwisho wao na tukiingia madarakani cha kwanza ni kukifucha cha magamba kama walivyofanya tunisia na misiri.
 
idd azam alikuwa wapi siku zote kutoa shutuma dhidi ya bhanji? inakuwaje mpaka apewe adhabu yeye ndipo amlalamikie shayros? yetu macho bwana kauli yake ya mwanzo imepelekea yeye kupata adhabu kwa vile alishindwa kuithibitisha ...sasa amedai shyrose aliisaidia chadema kwenye uchaguzi mkuu...athibitishe madai yake basi
 
baada ya kuondolewa adhabu ameamua kumlipuamwanaharakati duuu chama cha magamba kiboko
mie naona unafiki tu huo,,,,,,,,,utaoshwa tu kaka pole sana mna kazi wa magamba?????/
 
Back
Top Bottom