Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...!

kwa akili zangu ndogo nadhani mapigano yao ni ya mahusiano kwani zamani walikuwa wakionekana pamoja sasa iweje leo wanagombana kiasi hiki

Inawezekana hawa wanafahamiana vizuri sana. Nilisoma somewhere kuwa alikuwa na uhusiano naye bibie akachukuliwa mkulu wa CCM
 
uhuru wa kujimwaga unapobinywa hapo ndipo michezo wa kuongelea shimoni huanza.
mwaka huu mtasema yote na ndipo tutajua mbichi na mbivu.
 
Sijamjua dairekta wa episode hii

Siasa za bongo yani Kama tv series vile kila wiki kunakakisa kipya. Siye walalahoi tunaendelea kupigika sasa itabidi tuanze kujilia vitumbua vyetu tuinjoyi kwa pembeni
 
Ningekuwa Iddi Azzan nisingeanzisha vita ya media na Shyrose Bhanji, Bhanji ni mtu wa PR na anaiweza shughuli yake, yupo tayari hata kukata viuno juu ya stage ilimradi aonekane kwenye luninga, Jee, Iddi utayaweza hayo?

Moja kati ya bandiko lenye 'akili' kutoka kwako.
 
Jamaa anatamani kifo cha wengi ni harusi sbb ya adhabu aliyopewa na magamba wenzao
 
Ningekuwa Iddi Azzan nisingeanzisha vita ya media na Shyrose Bhanji, Bhanji ni mtu wa PR na anaiweza shughuli yake, yupo tayari hata kukata viuno juu ya stage ilimradi aonekane kwenye luninga, Jee, Iddi utayaweza hayo?

Waarabu wa pemba hao..
 
Hivi kuweka picha za hao akina dada wa CCM/Chadema wakiwa na viongozi wa vyama vya upinzani kwao ni nini?

mbowe+vs+kikwete.jpg

kikwete+lipumba+seif+3.JPG
 
- Hivi ndivyo watawala wote duniani wanavyotaka, wananchi walalahoi kuacha kujadili ishus muhimu kuhsu maisha yao, na kujadili watu, it always give them another day of rest!

William @ NYC, USA.
 
Ningekuwa Iddi Azzan nisingeanzisha vita ya media na Shyrose Bhanji, Bhanji ni mtu wa PR na anaiweza shughuli yake, yupo tayari hata kukata viuno juu ya stage ilimradi aonekane kwenye luninga, Jee, Iddi utayaweza hayo?

na wewe je?
uko tayari kukata wapi mauno mauno ili tu ufanikishe kuichafua chadema?
 
Idi Azzan aache mbishe na huyu dada mbona yeye zungu la unga watu wamemchunia na vijana wake wa kazi hata chuga town tunawjua vizuri tu wanachukulia mzigo Bagamoyo hebu aache hiyo mambo
 
- Hivi ndivyo watawala wote duniani wanavyotaka, wananchi walalahoi kuacha kujadili ishus muhimu kuhsu maisha yao, na kujadili watu, it always give them another day of rest!

William @ NYC, USA.

Hii nayo nafikiri ni Issue..maana Shy ni CCM inasemekana ameisaidia CHADEMA kwenye uchaguzi. Je huyu anakijenga chama kipi? na je yuko upande gani. ISSUE HUWA ZINAHUSISHA WATU BILA WATU HAKUNA ISSUE
 
- Hivi ndivyo watawala wote duniani wanavyotaka, wananchi walalahoi kuacha kujadili ishus muhimu kuhsu maisha yao, na kujadili watu, it always give them another day of rest!

William @ NYC, USA.

baada ya kazi burudani... unaweza kufanya kazi bila kupumzika ww ??
 
Kumbe mapenzi nayo ni support! Mfa maji Bwana!

Chadema mara inapewa support kutoka nchni za nje, mara ina pewa support na waandishi wa habari wa nje, mara tena ShyRose! kura za watanzania majority na support yao haiongelewi kabisa!
 
Ningekuwa Iddi Azzan nisingeanzisha vita ya media na Shyrose Bhanji, Bhanji ni mtu wa PR na anaiweza shughuli yake, yupo tayari hata kukata viuno juu ya stage ilimradi aonekane kwenye luninga, Jee, Iddi utayaweza hayo?

Wote hao ni Matunda ya Azimio la Zanzibar; ShyRose Bhanji ana Uwalakini wake tangu zamani... kwahiyo pamoja na PR zake anaficha Ukweli kuwa hana Mapenzi na CCM ana Mapenzi na Madaraka, Unadhani yeye yuko level moja na Mtanzania yoyote?

She's an opportunist just like Idd Azam... Azam wanasema alikuwa mfanya biashara wa Unga; Shy-Rose pia alichakachua Elimu na sasa ni PR --- Wote ni Muozo wa Azimio la Zanzibar CCM...

Bila Azimio hilo tusingekuwa na hawa Viongozi Uchwara....
 
Shyrose CCM anasaidia CHADEMA...
Sabodo alisaidia chadema wazi kabisa kifedha, hamna aliyelalamika, Shyrose kasaidia kama alivyosaidia hatujui kimwili, kiroho au kimapenzi, inakuwa tabu, kwanini wasimshambulie Sabodo aliyeita waandishi kabisa na kutoa msaada?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom