Idd Azzan amlipua Shyrose Bhanji kuhusu kujihusisha CHADEMA...!

Jan 13, 2008
37
4
Kumbe CHADEMA ILIPATA MSAADA WA SHYROSE WAKATI WA UCHAGUZI. Ndiyo maana yuko karibu sana na CHADEMA!

" Idd azzan ambae ni mbunge aliesimamishwa miezi 18 kushiriki shughuli za chama baada ya kushindwa kuthibitisha kauli yake nae kaibuka kumlipua shyrose bhanji kuwa katika uchaguzi mkuu uliopita shyrose alitoa sapoti kubwa sana kwa chama cha CHADEMA ila hakupewa adhabu.

Mbali na hayo Idd Azzan wiki iliyopita alipigwa zengwe na moja ya vigogo hao wa CCM kuwa eti ni pusha mzee wa mapouda..!

Siasa za kulipuana ndiyo umekuwa mtindo mpya wakukomoana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama cha mapinduzi(CCM)."

Shrose Bhanji

Idd Azzan(mbunge wa kinondoni)

SOURCE Unique Entertainment: IDD AZZAN AMLIPUA SHYROSE BHANJI KUHUSU KUJIHUSISHA CHADEMA...!!
 
Ningekuwa Iddi Azzan nisingeanzisha vita ya media na Shyrose Bhanji, Bhanji ni mtu wa PR na anaiweza shughuli yake, yupo tayari hata kukata viuno juu ya stage ilimradi aonekane kwenye luninga, Jee, Iddi utayaweza hayo?
 
Nadhani atakuwa amekusikia na kukuelewa
 
Wacha walipuane tu sie wengine tulipoanza kuona wauza unga na wazee wa madili wameingia CCM tuliamuaga kujitoa zamani!!! Sasa hivi tunakaa pembeni hatuna chama na kula popcorn kuangalia sarakasi.
 
mwacheni shemeji yetu alitoa sapoti wakati wa uchaguzi kwa sababu ya lazizi wake kuwa CHADEMA na je IDD AZAN ataweza vita na shy? kwani shy anajua kweli kutumia vyombo vya habari
 
Safi sana...Kama walikuwa wanawasha moto kwa mafuta ya taa basi tuwatafutie petrol kabisa....

CCM haiwezi kuuepuka mwisho wa namna hiyo...Ukishakula nyama ya mtu huachi!
 
Ccm itaishia mwanzoni mwa mwaka 2014. Yakumbuke maneno aya.

Laiti ingezimika hata leo kama moto wa kibatari...Kuendelea na madudu yake ndio kunatusababishia kadhia zote tunazopambana nazo!
 
kwa akili zangu ndogo nadhani mapigano yao ni ya mahusiano kwani zamani walikuwa wakionekana pamoja sasa iweje leo wanagombana kiasi hiki
 
226637_217646418254303_100000268407034_850789_1955159_n-1.jpg

sitta_mdee.jpg

Kumbe CHADEMA ILIPATA MSAADA WA SHYROSE WAKATI WA UCHAGUZI. Ndiyo maana yuko karibu sana na CHADEMA!

" Idd azzan ambae ni mbunge aliesimamishwa miezi 18 kushiriki shughuli za chama baada ya kushindwa kuthibitisha kauli yake nae kaibuka kumlipua shyrose bhanji kuwa katika uchaguzi mkuu uliopita shyrose alitoa sapoti kubwa sana kwa chama cha CHADEMA ila hakupewa adhabu.

Mbali na hayo Idd Azzan wiki iliyopita alipigwa zengwe na moja ya vigogo hao wa CCM kuwa eti ni pusha mzee wa mapouda..!

Siasa za kulipuana ndiyo umekuwa mtindo mpya wakukomoana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama cha mapinduzi(CCM)."

Shrose Bhanji

Idd Azzan(mbunge wa kinondoni)

SOURCE Unique Entertainment: IDD AZZAN AMLIPUA SHYROSE BHANJI KUHUSU KUJIHUSISHA CHADEMA...!!

Aaaaah..!!!! Sinema mpya hiyo!
 
Back
Top Bottom