Idd Amini Dada Bingwa wa Kiingereza Afrika Mashariki?

Alisema "thank you mr queen, when you will come to uganda I will kill you a bull"

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hii Mutu mie like kweli kweli kuisikikiza, but hii youtube mie bado kuona please acheni choyo wekeni link tuzivunjilie mbali mbav zetu hapa..Kuna ile " you haile commanding officer, when I'm talking you write fast wis your penis shap "
 
Ha haa,kuna pale pia alikua anapiga mkwara mawaziri wake ilikua balaa,video ipo full youtube.just google idd amin dada
 
Ila jamaa nasikia alikuwa anakijua kiswahili vizuri na ndo maana waganda wengi hawakipendi kiswahili kwasababu wanaona ni kama lugha ya Idd Amin
 
na Gavana wa Benki kuu ya Uganda alipomwambia nchi haina hela, jamaa akauliza kwani karatasi za kutengenezea hela hakuna? na akatoa amri ya kuchapisha manoti mengi!!!
Ha ha ha alimwambia "Print more money"
 
Huyu mchizi alikuwa amepinda kinoma,Hakuna mfano tena Afica labda El aingie madarakani ndo tunaweza kusikia hizo ngeli mchanyato!
 
Idd Amini Dada wa Uganda alikuwa mahiri sana wa Lugha ya Kiingereza...Miongoni mwa hotuba zake ilikuwa na maneno yafuatayo;..

His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.".

Hakuishia hapo,

"My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament, invented Guests, ladies under gentlemen. I hereby thank you completely…..Mr. Queen, sir; and also what he has done for me and my fellow Uganda who come with me"

Hapa tena baada ya kufurahishwa na mapokezi ya Malkia anaahidi "kulipa fadhila/kulipa kisasi"

"Ladies under Gentlemen, I'm here to undress you....thank you Mr.Queen, for your kind, I have eaten and I'm fed up,if you come to Uganda I will revenge,You will it full of cow and you will sleep on me, thank you Mr Queen!!!!"

Kwa hisani ya Wadau mbalimbali...

Nipe namba yako...nikutumie salio. hahaaaaa!
 
Alishawahi kuulizwa kuhusu Hitler. Jamaa akacheka sana halafu akamjibu yule mwandishi: "Hitler problem is past tense".

Ila mi nilkuwa namaindi confo lake. Jamaa alikuwa anavunjavunja kiinglishi halafu haogopi mtu.

He was the head of state why worry!
 
Ila jamaa nasikia alikuwa anakijua kiswahili vizuri na ndo maana waganda wengi hawakipendi kiswahili kwasababu wanaona ni kama lugha ya Idd Amin

Waganda are very funny. Hawataki lugha ya kiswshilivkwa kuwa ilitumuwa na amini. What is more interesting they are very good in english the language used by the british to divide and rule them
 
Alimwambia Nyerere."I LOVE YOU,I WILL MARRY YOU A HANDSOME LADY"
 
Aliwahi kusema I shook my head infront of HANDSOME LADY NYERERE to show that i was not agreed with him about border dispute.
 
Ila jamaa nasikia alikuwa anakijua kiswahili vizuri na ndo maana waganda wengi hawakipendi kiswahili kwasababu wanaona ni kama lugha ya Idd Amin

Hakuna Raisi aliyewatukuza Waganda kama Idd Amini, kumbuka aliwafukuza wahindi biashara zao zote akaagiza zichukuliwe na waganda kwa nguvu. Kabla hajaingia madarakani uchumi wa uganda ulikua mikononi mwa watu weupe alipoingia madarakani mambo yakabadilika, Wahindi na wengine wenye asili kama hiyo walirejea baada ya Iddi Amini kupinduliwa na Tanzania.
 
Idd Amini Dada wa Uganda alikuwa mahiri sana wa Lugha ya Kiingereza...Miongoni mwa hotuba zake ilikuwa na maneno yafuatayo;..

His Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.".

Hakuishia hapo,

"My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament, invented Guests, ladies under gentlemen. I hereby thank you completely…..Mr. Queen, sir; and also what he has done for me and my fellow Uganda who come with me"

Hapa tena baada ya kufurahishwa na mapokezi ya Malkia anaahidi "kulipa fadhila/kulipa kisasi"

"Ladies under Gentlemen, I'm here to undress you....thank you Mr.Queen, for your kind, I have eaten and I'm fed up,if you come to Uganda I will revenge,You will it full of cow and you will sleep on me, thank you Mr Queen!!!!"

Kwa hisani ya Wadau mbalimbali...

Dah,wakuu nmeamua kuikumbushia hii thread iliwahi kunikosha sana mwaka jana
 
spend full moon huyo ndo Idd Amini dada,,,
 
Back
Top Bottom