Ndilo ambalo Raisi wetu ameanza kulifanya.Mku wake katokea tume ya uchaguzi,nani alikuwa anamjua?Wakuu moja ya idara ambayo inajiendesha kizamani ni Usalama wa Taifa. Idara hii haitaki kubadilika enzi na enzi.
Suala la Kukamatwa kwa Spies karibu 8 kama siyo 19 ni moja kati ya Mambo yanayoibua sintofahamu huku wengine wakiwanyooshea Bastola watu halafu Polisi wanakana kuwa hakua Polisi lakini pia hawakumkata nina Uhakika Kama angekua raia wa kawaida na akaonesha Toy tuu angekua kashakamtwa kwa sababu Viongozi wa Polisi walikuepo pale.
Ushushu Tanzania imekua kazi ya Kishkaji na Kurithishana bila kuangalia vigezo kwa wahusika wamekua wanashindwa hata kujua ni Viongozi wepi wa kuwatii Usalama wa Taifa unakuta anatumika na Viongozi ambao hawana hata mamlaka ya Kuwatuma.
Mwisho Niombe tuu Mkurugenzi wa Taasisi hii nyeti tafadhali punguzeni Ushikaji wakati wa Recruitment wekeni watu wenye Uwezo na wenye Taaluma Mbalimbali.
Tuige mifano ya CIA, Mi6, jinsi wanavyo operate kwa Weledi wa Hali ya Juu CIA kule ni taasis ambayo inafanya kazi bila kupokea maagizo ya mtu yeyote ndani ya Marekani.
Vitendo vya TISS kujihusisha na Kuwaibia Kura Wabunge ni vitendo vinavyoishushia heshima idara ya Usalama.
Huna lolote mzinguaj tu,safar ya wap sema bhana!!Ipo siku utaelewa maneno hayo na hiyo safari utaijua ya kuelekea wapi.
Duh ww ni mwananchi wa Tanzania na TISS hujui ni nini?Kwani TISS ni nini? Mnaojua tafadhali mtusaidie
Nnakubaliana na weweTiss za wenzetu zinajikita zaidi kuiga teknolojia kufanya mageuzi ya kiusalama.uchumi nk. Huku kwetu pazuri....???
Sio wote mkuu...uzalendo haukosi ila kuna nguvu ya wema na ubaya kwa kila taasisi, hata uwe wewe TISS kuna mifumo yake...but ni kweli kila taasisi inahtaji kujifunza zaidi hasa changamoto za Dunia wakati huu.
Heeeeeeee..... wakiwa wamevaa suti nyeusi ... man. Niaje ww.... mbona mshamba ? Usalama wa taifa wanavaa suti.Oooh
Sawa sawa. Huwa nawaona uwanja wa taifa kwenye maadhimisho ya sherehe za uhuru au muungano wakiwa wamevalia sare nyeupe kwenye gwaride. Asante sana mdau
TISS imetiwa najisi kwa sasa.Wakuu moja ya idara ambayo inajiendesha kizamani ni Usalama wa Taifa. Idara hii haitaki kubadilika enzi na enzi.
Suala la Kukamatwa kwa Spies karibu 8 kama siyo 19 ni moja kati ya Mambo yanayoibua sintofahamu huku wengine wakiwanyooshea Bastola watu halafu Polisi wanakana kuwa hakua Polisi lakini pia hawakumkata nina Uhakika Kama angekua raia wa kawaida na akaonesha Toy tuu angekua kashakamtwa kwa sababu Viongozi wa Polisi walikuepo pale.
Ushushu Tanzania imekua kazi ya Kishkaji na Kurithishana bila kuangalia vigezo kwa wahusika wamekua wanashindwa hata kujua ni Viongozi wepi wa kuwatii Usalama wa Taifa unakuta anatumika na Viongozi ambao hawana hata mamlaka ya Kuwatuma.
Mwisho Niombe tuu Mkurugenzi wa Taasisi hii nyeti tafadhali punguzeni Ushikaji wakati wa Recruitment wekeni watu wenye Uwezo na wenye Taaluma Mbalimbali.
Tuige mifano ya CIA, Mi6, jinsi wanavyo operate kwa Weledi wa Hali ya Juu CIA kule ni taasis ambayo inafanya kazi bila kupokea maagizo ya mtu yeyote ndani ya Marekani.
Vitendo vya TISS kujihusisha na Kuwaibia Kura Wabunge ni vitendo vinavyoishushia heshima idara ya Usalama.
Ni Kweli Kabisa ,Hiyo Taasisi Haiendeshwi Kisiasa.Watanzania tuna safari ndefu sana. Sasa tumetoka kwenye siasa tunavamia kuijadili taasisi ambayo sio ya kisiasa na inaendeshwa kwa usiri mkubwa. Kazi kweli kweli. Wewe una uhakika hao waliokamatwa kweli ni watu wa usalama wa taifa? Unajaribu kuwaingiza watu matatizoni kuanza kuijadili TISS. Unachokitaka hao unaowajadili watakupatia kama unadhani upo salama sana ktk hili jukwaa au huko mitandao mingine. Kama mtu sio daktari wa mambo ya neural unaanzaje kujadili na kukosoa namna ya kufanya operation inayohusu ubongo? Tuheshimu taaluma za watu. Tuwaache TISS wafanye kazi zao kadiri ya taaluma yao na mafunzo ya kazi yao. Haya mengine ni mambo ya propaganda za mitandaoni.
Tanzania inteligence secret service mkuuKwani TISS ni nini? Mnaojua tafadhali mtusaidie
TISS ilishaondoka na Baba wa Taifa na sasa hivi pamoja na kwamba inaonekana imegawanyika kutokana na siasa imekuwa kama Tawi la kupenyezea mambo ya ovyo ya watawala ili kukandamiza watu wenye maono tofautiWakuu moja ya idara ambayo inajiendesha kizamani ni Usalama wa Taifa. Idara hii haitaki kubadilika enzi na enzi.
Suala la Kukamatwa kwa Spies karibu 8 kama siyo 19 ni moja kati ya Mambo yanayoibua sintofahamu huku wengine wakiwanyooshea Bastola watu halafu Polisi wanakana kuwa hakua Polisi lakini pia hawakumkata nina Uhakika Kama angekua raia wa kawaida na akaonesha Toy tuu angekua kashakamtwa kwa sababu Viongozi wa Polisi walikuepo pale.
Ushushu Tanzania imekua kazi ya Kishkaji na Kurithishana bila kuangalia vigezo kwa wahusika wamekua wanashindwa hata kujua ni Viongozi wepi wa kuwatii Usalama wa Taifa unakuta anatumika na Viongozi ambao hawana hata mamlaka ya Kuwatuma.
Mwisho Niombe tuu Mkurugenzi wa Taasisi hii nyeti tafadhali punguzeni Ushikaji wakati wa Recruitment wekeni watu wenye Uwezo na wenye Taaluma Mbalimbali.
Tuige mifano ya CIA, Mi6, jinsi wanavyo operate kwa Weledi wa Hali ya Juu CIA kule ni taasis ambayo inafanya kazi bila kupokea maagizo ya mtu yeyote ndani ya Marekani.
Vitendo vya TISS kujihusisha na Kuwaibia Kura Wabunge ni vitendo vinavyoishushia heshima idara ya Usalama.
Abdulrahman ShimboNa kule China alishastaafu juzi nilikutana nae Kariakoo tunanunua sado za nyanya wote
Acha upuuzi weww hata tiss huenda huijui TISS ni taasisi kongwe ila watu wake hawana ukongwe wowote na ndio maana sasa hivi wanafanya vituko yawezekana imebeba aina ya watu wa ajabu ajabuTISS ina uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika shughuli zake wewe kijana wa juzi umetoka kuangalia series za "kijasusi" unakuja hapa unatema pumba unazoita ushauri
Pathetic
Acha upuuzi weww hata tiss huenda huijui TISS ni taasisi kongwe ila watu wake hawana ukongwe wowote na ndio maana sasa hivi wanafanya vituko yawezekana imebeba aina ya watu wa ajabu ajabu