Idara ya Usalama wa Taifa ipewe Mamlaka zaidi ili kuinusuru Nchi

Tiss za wenzetu zinajikita zaidi kuiga teknolojia kufanya mageuzi ya kiusalama.uchumi nk. Huku kwetu pazuri....???
 
Oooh
P

Tanzania Intelligence Security Service Hao ndo tunawaita Usalama wa Taifa Mdau.
Sawa sawa. Huwa nawaona uwanja wa taifa kwenye maadhimisho ya sherehe za uhuru au muungano wakiwa wamevalia sare nyeupe kwenye gwaride. Asante sana mdau
 
Kazi kubwa ya Tiss ni kuiba kura hilo lipo wazi kabisa
Sio wote mkuu...uzalendo haukosi ila kuna nguvu ya wema na ubaya kwa kila taasisi, hata uwe wewe TISS kuna mifumo yake...but ni kweli kila taasisi inahtaji kujifunza zaidi hasa changamoto za Dunia wakati huu.
 
Hii nchi tunaongozwa na JWTZ hizi department zingine hamna vitu vya maana wanavyofanya zaidi ya kuonea wananchi na kufanya mambo ya ajabu ajabu

JWTZ huwezi kuwakuta kwenye mambo ya kipuuzi hata siku moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom