Idara ya Uhamiaji mnalijua hili....!

madibira1

Member
Dec 18, 2011
80
16
Kuna wahindi wengi sana ambao ni wahamiaji haramu ambao wako hapa nchini.... na Asilimia kubwa wako kwenye viwanda na makampuni ya wahindi. Pindi mnapokuja kuwa kagua wengine hujificha hadi kwenye stores.. mkiondoka tu wao back to work na niwengi balaa. Nashauri msiwe mnatoa taarifa mnapokuja nakama huwa hamtoi taarifa basi mbadilishe mbinu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Serikali yako ni sikivu, fanya kuwaandikia Uhamiaji then drop kwenye sanduku la maoni
 
mkuu hujui hao wahindi wamefanywa vitega uchumi na hao maafisa uhamiaji...kumbuka ishu ya yule afisa wa uhamiaji kule Moshi alivyokuwa na kitabu feki cha risiti, hela ikipatikana yote anatia ndani
 
Hapa ndo huwachoka watz. Unaona mharifu kajificha stoo, unatulia unaleta udaku jf? Si wataje ili washughulikiwe!
 
Mkuu kwa taarifa yako tu ishu hiyo inafahamika kitambo lakini kama alivyosema watu8 hapo juu hiyo ni mitego ya noti ya vijana wa uhamiaji,mbaya hao jamaa wanakuja hapa kama expati wakati kazi zenyewe wanafundishwa humo humo viwandani.
 
Last edited by a moderator:
Wahamiaji haramu ni wengi sana hapa Dar. Hata Wasomalini wengi mitaa ya Gerezani, Kkoo na Mtoni, wao hawajifichiila pia hawakamatwi.
 
Kuna wahindi wengi sana ambao ni wahamiaji haramu ambao wako hapa nchini.... na Asilimia kubwa wako kwenye viwanda na makampuni ya wahindi. Pindi mnapokuja kuwa kagua wengine hujificha hadi kwenye stores.. mkiondoka tu wao back to work na niwengi balaa. Nashauri msiwe mnatoa taarifa mnapokuja nakama huwa hamtoi taarifa basi mbadilishe mbinu.

maafisa uhamiaji hawaendi kukagua ila wanaenda kuchukua mgao wao (hela)
 
hili jambo lishatuchosha....wakenya ndo usiseme.....uhamiaji wanachukua tu pesa wanaondoka......li nchi la kifala sana hili......
 
fikeni ubungo plaza kuna godown kubwa sana wako wachina pake kibao wanauza tiles na other building materials
wenye work permit hawafiki 6 wengineo wote hawaba kibali chochote
uhamiaji wanajua hili wakifka wanachukua chao na kuondokoa
inabidi kikizidi tuwe kama south afrika sasa kama uhamiaji wameshindwa kazi
tutawasaidia sisi kuwaondosha
 
Back
Top Bottom