Kama Ultrasound yako sio so special, unaweza kuifanyia popote ukaleta majibu kwa daktari wako....Haiwezekani hadi Ultrasound za kawaida zikafanyikie hospitali ya taifa...Tafsiri ya Hospitali ya Taifa ni rank ya mwisho ya rufaa, unatakiwa upewe huduma ambazo hazipatikani kwingine kuzuia msongamano...Waache wataalam wakomae na special ultrasound tests ambazo haziwezi kufanyika pembezoni