Walisambaza ujumbe wa sms kwamba kuna tatizo na maji yataanza kutoka leo usiku baada ya kukamillika kwa matengenezo, lakini pamoja na hayo bado idara ya maji Mwanza kuna tatizoIIdara ya maji mkoa wa Mwanza, wilaya ya Nyamagana kuna jipu kubwa pale. Maji mwezi mzima sasa hayatoki hasa kwa wakazi wa Shamaliwa kata ya Igoma. Tuko karibu na chanzo cha maji na hali ndo iko hivi, hurumieni wananchi tunateseka sana juu ya maji.
kumbeNahis ni mji mzima tu,
Mkurugenzi wa bodi yao anaitwa Hamis S Saleh ambaye pia ni mkurugenzi wa CRDB Bank Northern Zone, anapatikana kwa e mail adress hii, hsaleh@crdbbank.com mcheki atakujibu, jamaa ni msikivu kias flani.Idara ya maji mkoa Wa Mwanza wilaya ya nyamagana kunajipu kubwa pale ,maji mwezi mzima sasa hayatoki hasa kwa wakazi Wa Shamaliwa kata ya Igoma, kama tuko karibu na chanzo cha maji na hali ndo iko hivi ,hurumieni wananchi tunateseka sana juu ya maji
Walisambaza ujumbe wa sms kwamba kuna tatizo na maji yataanza kutoka leo usiku baada ya kukamillika kwa matengenezo, lkn pamoja na hayo bado idara ya maji mwanza kuna tatizo
Nyie mna neema ya border postNakupendelewa na serikali..kanda ya ziwa nazani mkuu akisikiliza litatekelezwa faster..sisi kanda ya nyanda za juu kusini..hatuna mtetezi..kilakitu kanda ya ziwa kanda ya kaskazni kanda ya pwani
Wewe muongo, labda uko Kirumba ya DRC na siyo Kirumba ya Mwanza, mimi Jirani na Monarchy hotel mbona maji yapo tu hayakatiki?Nyiemsema buhongwa mbalihuko hapakwetu kilumba hakunamaji watuwanaamka saa 10 kuwaifoleni
Aiseeee ni aibu kubwa machinjioni hakuna maji week ya pil sasa ila maji yapo KahamaIdara ya maji mkoa wa Mwanza, wilaya ya Nyamagana kuna jipu kubwa pale. Maji mwezi mzima sasa hayatoki hasa kwa wakazi wa Shamaliwa kata ya Igoma. Tuko karibu na chanzo cha maji na hali ndo iko hivi, hurumieni wananchi tunateseka sana juu ya maji.
Monarch hotel??????Wewe muongo, labda uko Kirumba ya DRC na siyo Kirumba ya Mwanza, mimi Jirani na Monarchy hotel mbona maji yapo tu hayakatiki?